huku kendwa kuna bichi za kufamtu. wadau wa ukerewe na newala poleni kwa kiwinta. we nzenu huku aaaaaaaahhh...

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. mpe salamu bwna kilupi

    ReplyDelete
  2. "Unguja ni njema atakaye na aaje!", si mchezo, maana beach imejaa mchanga, ilhali hapa Ukerewe kokoto tupu! ...hali ya hewa hapa ni tafrani tupu, February hii Spring, winter na Summer zote zimechanganyika katika mwezi mmoja, sijui ndio Global warming yenyewe hii? Kazi Ipo! leo huko nje Joto! ~MchongomaMwiba~

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...