Home
Unlabelled
bilikanaz
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Michuzi, hii ni lazima itakuwa bilicanas ya zamani sana, nafikiri miaka ya 97, 98.., siku hizi watu hawavai mavazi ya aina hizo pichani
ReplyDeletewahame tu..ni bora. Labda wahamie Chalinze.
ReplyDeleteMajidi wakati mwingine hizi picha zinaweza zua baraa, Unaweza kuona dada ya mtu kakumbatiwa na jamaa sijui sasa hapo inakuwa vipi. Kuna jamaa mmoja tulifanya nae kazi hapo bongo alikuwa na demu wake anampenda kishenzi anamuita "White". Watu tukazuka Bills kama kawaida tupo juu na Killi zetu tunacheki vyuuno chini---mara hee White huyo anakatika na jamaa mwingine--wakati siku hiyo demu alisema hajiskii fresh na anakwenda kulala----sasa---yanaweza jirudia haya katika picha.
ReplyDeleteUnanikumbusha enzi nilizo kuwa naruka ukuta kwenda bilicanaz.
ReplyDeleteDoooo! hiyo picha mie inanikumbusha miaka ya 80 maana hao wakina dada wana afro na wengine wametoa 'rolazi' bila kuchana nywele maana walikuwa hawajui kuwa kuna kuchana baada ya kuzitoa.
ReplyDeleteWewe Anonymous Saa Tuesday, February 27, 2007 10:53:00 AM, hii picha imepigwa jana tuu. Watu wanapiga hivyoo (hizo pamba)hadi leo kwa taarifa yako.
ReplyDeleteWEWE MTOA MAONI 27,2007 SAA 5:09 WEWE HUWA HUKUMBATII DADA ZA WATU, NA JEJE? ASIPOKUMBATIWA UTAMKUMBATIA WEWE? ACHA UZUSHI SIO ISSUE HIYO, TOA MAONI YA MAANA NA ACHA WIVU KWA DADA ZAKO
ReplyDeleteWEWE MTOA MAONI 27,2007 SAA 5:09 ACHA WIVU NA DADA ZAKO, ASIPOKUMBATIWA NA WATU UTAKUMBATIA WEWE? ACHA UZUSHI, SIO ISSUE hiyo TOA MAONI YA MAANA
ReplyDeletesamahani michuzi niko nje ya mada ya picha hii, sijaona pa kujipachika zaidi ya hapa,
ReplyDeletenimepokea attachment ya picha tatu za mke wa mtu aliefumaniwa, na mume akamwamuru kutoka nje bila nguo, mimi hata sijaamini, na kama ni uongo je hizo pic zimetoka wapi??, kwani inaonekana ni pic za ukweli na sio kama wajuaji wa kucheza na computa wameitengeneza, kuna kitu kama hiki kilitokea kweli wiki moja au mbili zilizopita?? ukitaka picha hizo nitakuforwadia, kama ni kweli hiyo ilikuwa balaa... haluuu