ali masoud wa kipanya a.k.a kp akinikabidhi nondo zake ofisini kwake leo. kanituma nibandike mbili kwa wiki; moja ijumaa na ingine jumatatu. stei tyuund...

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. michuzi siku nyingi sijakuona kwa karibu duu hiyo sura mbona umezeeka sana njoo ufanye plastic surgery nita take care hiyo bili,japo kuwa ile namba ya simu ya yule Dada AISHA umeichunia sina kinyongo.

    ReplyDelete
  2. This comment has been removed by a blog administrator.

    ReplyDelete
  3. Naomba kuziona hizo awards za kipanya zilizoko ukutani.

    ReplyDelete
  4. unaomba kuziona hizo awards ili zikusaidie sasa ala,masoud kamua baba mpaka kieleweke.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...