kuna wadau wameomba kumuona ali masoud wa kipanya kwa karibu. nawsasilisha...

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. kuchora vipanya kwa muda mrefu maskini mpaka sula sasa kafananavyo

    ReplyDelete
  2. Mssoud

    naona unaanza kula afuta mengi

    kuwa mnenen siyo sifa nasikia bongo sikuhizi kuna gym za maana tuuu

    sasa hebu inggia gym otherwise hutochukua muda na kuanza kupata complications

    swali la nyongeza

    Je na wewe upo kwenye safari ya JK tarehe 17? maana si unajua tena uko karibu na huyo michuzi ambaye kwa safari ni kiboko

    ReplyDelete
  3. Unafaa mno mpaka nakutamani!

    ReplyDelete
  4. Nilikuwa najiuliza mbona kaweka picha masikioni kunani. Kumbe yeye ni kipanya najua masikio yake yalivyo basi hakuna haja ya kuendelea.. teh teh

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...