Home
Unlabelled
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Hivi we Masoud unakulaga nini kabla hujachora hivi viponzo? Its very amazing! Nakukubali mshkaji...
ReplyDeleteKikwete ana maneno mengi matamu matamu LAKINI ni hewa tu!
ReplyDeleteTatizo ni system. Kinahotakiwa ni kuwaelewesha watu kuwa si kila mtu anaweza kukopa! Tunaposema kukopesha hatumaanishi mtu uibuke tu kutoka Mbagal Kiburugwa eti unataka MAMILION ya JK! Tutakupata wapi ukiliwa na SIMBA huko kwako! Serkali lazima ieleweshe watu na siyo kuwachanganya kwamba kuna mikopo wakati hawastahili na hawana sifa za chini au kwa lugha yao wenyewe......."they dont meet qualification"!
ReplyDeleteMwenye nacho ndio ataongezewa, hii ipo mpaka kwenye vitabu vya dini. huwezi kukopa kama huna kitu cha kuweka dhamana hizi ni pesa za umma kwa hiyo lazima zirudi
ReplyDeletehe! kwani kama unaishi kariakoo ukagongwa na gari na kufa papo hapo tutakupatia wapi ? lenga point yako bana. ...ni kweli mkopo lazima uwe na masharti yatakayo hakikisha unaweza na una nia( usala la credit) ya kulipa deni lako.
ReplyDeleteKwa maoni yangu ni heri mamilioni hayo yangetumika kujenga shule na kuboresha mazingira ya kusomea pamoja na kuwakopesha wanafunzi wa elimu ya juu. Hisa sasa ni vurugu tupu na si wananchi wengi watakaofaidika kama Kipanya anavyobainisha katika kikatuni hiki.
ReplyDeleteBasi nenda kakope wewe unaekaa Tegeta!! maana una-qualify kukopeshwa!
ReplyDeleteSio system. Hii kitu iko ulimwengu mzima. Ni lazima umjue mtu ili upate special treatemts au ufike mahali. This story tells everything
ReplyDeleteFather: I want you to marry a girl of my choice
Son: "I will choose my own bride!"
Father: "But the girl is Bill Gate's daughter."
Son: "Well, in that case...ok"
Next Father approaches Bill Gates.
Father: "I have a husband for your daughter."
Bill Gates: "But my daughter is too young to marry!"
Father: "But this young man is a vice-president of the
World Bank."
Bill Gates: "Ah, in that case...ok"
Finally Father goes to see the president of the World Bank.
Father: "I have a young man to be recommended as a
vice-president."
President: "But I already have more vice- presidents than I need!"
Father: "But this young man is Bill Gate's son-in-law."
President: "Ah, in that case...ok"
This is how business is done!!
Moral: Even If you have nothing, You can get Anything.
But your attitude should be positive.