Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. Kipanya!
    tatizo akianza dozi hiyo atasahau kumalizia vidonge vilivyobaki na hivyo basi, shida yake kubaki palepale! Asante kwa "Buremisha"- Burudani Elimisha.
    Shabiki wako,
    /maggid

    ReplyDelete
  2. NGUVU MPYA,ARI MPYA, KASI MPYA NA MAISHA BORA KWA KILA MTANZANIA hili liko wazi tatizo ni hatujui lini haya maisha bora tutayapata

    ReplyDelete
  3. Yarabi! Hii Buremisha ni nini tena!? Msikiharibu kiswahili kwa kutunga viswahili vyenu vya ajabu ajabu. Mnaona uvivu kusema Burudani na kuelimisha mpaka mtunge shortcut!!!? Du kazi ipo miaka 10-15 ijayo kiswahili kitakuwa kimeharibika kabisa kama mwendo wenyewe ndio huu wa kuibuka na vijineno vya ajabu ajabu kila kukicha.

    ReplyDelete
  4. Haa! wee anony.. wa sunday 6.21 kiswahili hakitaharibika, bali kitakuwa kwa kujiongezea misamiati ikiwemo hiyo ya buremishana.Na wewe toa msamiati wako uchangie maneno kwenye lugha yetu

    ReplyDelete
  5. masudi fance yuko wapi siku hizi??

    ReplyDelete
  6. Kipanya,
    vidonge hivyo vinatengenezwa kwa wingi? Watanzania wengi tunavihitaji ili kusahau ahadi za kila baada ya miaka mitano.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...