mjumbe hauwawi... kuna mdau kanirushia hii muda si mrefu ulopita

YANAYO TUFANYA TUWE WASWAHILI...
1.Unamwita mtu usiyemjua(wala kukutana nae kabla)aunt au anco.
2.Asilimia 90 ya CD pamoja na cassete za muziki ulizonazo nyumbani ni feki (sio original copies).
3.Stoo yako imejaa vitu (makorokoro) kwa kuwa hutupi kwa kuamini kuwa ipo siku utayahitaji kwa mfano karpet ukilitoa hulitupi n.k.
4.Una machupa ya maji matupu ya shampoo perfume pamoja na vipodozi vingine umeweka tuu wala huna shughuli navyo.
5.Watoto wako wote wana majina ya utani mfano babu ali,chidi,mamu,dida n.k.
6.Hakuna mtu katika familia yako anayetoa taarifa kwako anapo kuja kukutembelea mfano kaka,shangazi n.k.
7.Mifuko yako imejaa vitu kama vile vijiti vya kusafishia meno,tissue n.k ulivyochukua sehemu kama vile mgahawani.
8.Mama yako anamigogoro na ndugu na hawazungumzi kwa muda wa siku 10au zaidi.
9.Hupigi simu isipokuwa katika muda ambao gharama za kupiga ni nafuu(mfano usiku sana)na mara nyingi huwa una beep tu.
10.Ulipokua mdogo nguo unazonunuliwa pamoja na viatu ni vikubwa mara mbili ili uweze kuvivaa muda mrefu zaidi.
11.Wakati ukisafiri na ndege unabeba mzigo wa uzito mkubwa kuliko inavyoruhusiwa.
12.Unapomsaidia mtu na akafanikiwa basi utakuwa unasema kama sio mimi asingekuwa vile yule.

NOTE: Wapelekee waswahili wengine ili wajue ni kitu gani kinawafanya wao wawe waswahili..........................kama mimi na wewe ,

Cheers

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. Jamani shule iansaidia, sasa huyu jamaa yupo kanisani na T-shirt yake inasema "Beauty is in the ye of the beer holder" ? LOL hili kanisa labda na mchungaji wake shule haijapanda

    ReplyDelete
  2. Baadhi ya mambo aliyoyataja hapo juu ni kweli kabisa.lakini yote hii ni "human berhaviour".hakuna kipya.

    ReplyDelete
  3. This is BS, there is no set upon of uswahili rather what I see here is a cultural issue. Also, your 12 points reasons suggest that you are not an authority on the study of culture.

    There is nothing wrong to make a call when it is cheap or you don't have to pay at all...it is a matter of budgeting. It is so apparent that you haven't heard the word economics in your life.

    So, shut up and come down to earth dude!

    ReplyDelete
  4. You kow you ghetto when you got rats and roaches
    the fan in the window, front door wide open
    you know you ghetto when you say "i aint offended"
    change the channel with some pliers, got a hanger for a antennae
    you know you ghetto eatin chicken everyday
    with color weave in your hair, and you trickin for a pay
    gold teeth in your mouth
    out talkin loud
    and the car that you drive cost more than your house
    you know you ghetto when your job is illegal
    live in the projects with furniture like rich people
    you know you ghetto when you cook with lard
    and the only credit you got is your food stamp card
    you know you ghetto when you own section 8
    have dues everyday, but you pay your bills late
    understand this song, get your jam on
    and yo grandma whip you with whatever she get her hands on


    you know you ghetto (look at the way you walk)
    you ghetto (c'mon listen to how you talk)
    you ghetto (look at the clothes you wear)
    you ghetto ( haa look at that style of hair)

    you know you ghetto picken boogers then you flick em
    and eat with your hands stead of washin em, you lick em
    you dont know your daddy
    and your hair nappy
    people catch the Holy Ghost in church gettin happy
    you know you ghetto call a crib your house
    be at funerals screamin, fightin then fall out
    you know you ghetto sellin clothes you stole
    and when you go out its like a fashion show
    you know you ghetto with a name like SHANIQUA,DAQUISHA,DEREC,MONIQUE,TASHANA,LATOYA,TAMIKA,SHAWANA
    Pookie, red and peanut butter puttin codes in your beeper
    when you her stuff, helicopter, city bus
    gettin fucked in an ice cream truck

    you know you ghetto only shop when theres a sale
    late everywhere you go with an excuse to tell
    you know you ghetto when you pee outside
    catch bronchitis, get ??? and sleep tight
    you know you ghetto when yall stealin cable
    cussin and DJin on underground radio
    sayin yo mama jokes
    fightin on talk shows
    mattress against the wall
    aint no frame, its on the floor
    you know you ghetto with dreads, doo rags and braids
    weaves, colorful nails, afros, half way waves
    you ghetto, wont pay back money that you borowed
    and wearin an outfit you goin to return tomorrow
    you ghetto bettin on a number
    usin words like uh huhh, naw, and uh uh
    instead of sayin mom you say ma, instead of dad you say da
    you see nickel stores, barbeques, and laundromats

    you know you ghetto punchin aint playin house right
    your kids barefoot, playin outside
    eat food off the ground, sayin God bless the church
    let your kids drink beer, talkin bout it gives em worms
    you know you ghetto borrowin your friends clothes
    ran out of water supplies from people next door
    you know you ghetto heat the house with the oven
    and anybody famous from the hood your cousin
    you know you ghetto cussin out your teacher
    and when somethin happen your mama say Lordy Jesus!
    when you use street knowledge
    graduate from school and go to jail instead of college
    you know you ghetto barbeque-in every holiday
    pizza man wont even deliver around your way
    where the gang hang out, cornerstore hang out
    moms at the gas station beggin for some change now

    ReplyDelete
  5. we anonym nr.1, sasa hayo maneno ya kwenye t-shirt yanahusiana nini na shule? Au kwako english = shule? Ovyo!

    Anonym nr2 na nr3, mmeongea kweli mno!

    ReplyDelete
  6. Try to think this way about that msg,u can only see the beauty of something when u have it.just like he is enjoying to practice his religion and love it.So ukitaka kujua uzuri wa kitu kwanza kua nacho.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...