bongo kufa hatufi, lakini cha moto twakiona; ukila nyama unaambiwa jihadhari na lifti vale. ukimega kuku unaambiwa sijui badi fluu, sasa iweje wadau...hapa nimepiga wali wangu wa mchele wa kitumbo lakini kipapatio cha kuku nimekikacha

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Michuzi hacha kutuumiza huku. Vyakula hivi tunavipika ila bwana asikudanganye mtu hamna ladha kama ile ya bongo.. ughaibuni wameweza kila kitu technolojia na kadhalika lakini kutengeneza laha kumewashina kabisa. Kuku huyo bwana anaweza akachemshwa tu na chumvi ukajilamba hadi kisogoni hapa kuku unamjaza kila aina ya spices na bado aungiki.

    ReplyDelete
  2. Misupu vibaya hivyo, hicho kipapatio ndugu yangu, enzi zangu mtu akishika hicho ugomvi wake haumuliki mkapa kwa bomu la machozi. nakiona kilivyotulia kwenye hiyo sahani hapo, ehe, mate glasi nzima.

    ReplyDelete
  3. Samahani Huyu wa hapo juu ^^^^ Hujui Kupika ndio kinachokusumbua. Upishi ni science pamoja na pendo. Ukipika kwa kutumia science na ukatia na upendo basi... Wacha tu. Mbongo ughaibuni unapika vile vile kama upo Bongo.

    Kuhusu hicho kipapatio ulichokiacha kaka michuzi, haisaidi, kwa sababu ya Cross contamination. NI sawa eti na Muislam anapakia Pizza na pepperoni ya nguruwe, lakini pepperoni anaitoa na kuitupa. Eti Haramu.. Hahaha. Umeruka mkojo kuingia kwenye kinyesi...

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...