Timu ya soka ya Fluminense ya Brazil leo imeweza kuifunga timu ya ( celecao National da Tanzania) kwa magoli 3-0,magoli ya fluminense yalifungwa na Alex dias, Andre' Mortz, na Adriano Magra'o.

kocha wa timu ya fluminense Joel Santana alifanya mabadiliko ya wachezaji wengi ambao baadhi yao wamo wale ambao alikuwa bado kuwafahamu ktk kikosi chake.

mwisho wa mchezo coach Joel Santana alisema, nimependezwa sana na mchezo kama vile ambavyo mimeuona kwani tumekutana na timu ambayo incheza kwa kasi sana na madifensi wenye kukaba kwa vizuri, akiisifia timu ya taifa stars.

timu hizo ziliwakilisha na wachezaji kama ambavyo unaona hapo chini kabisa

wanaojua kireno someni hapo chini....

O Fluminense venceu o jogo-treino contra a seleção da Tanzânia por 3 a 0, gols de Alex Dias, André Moritz e Adriano Magrão. A partida foi realizada no Centro de Treinamento Vale das Laranjeiras, em Xerém.

O técnico Joel Santana aproveitou o jogo para fazer muitas modificações e observar alguns jogadores que ele não conhecia. O treinador aprovou o rendimento da equipe.

"Gostei do que eu vi porque enfrentamos um time rápido e a defesa se comportou bem. No primeiro tempo, os titulares erraram muito nas finalizações, mas vamos trabalhar durante a semana para corrigir estes erros. Precisamos valorizar um pouco mais a posse de bola", disse o treinador.

FLUMINENSE 3 X 0 TANZÂNIA

Local: CTVL (Xerém)Gols: Alex Dias (27m/1º), André Moritz (7m/2º) e A. Magrão (43m/2º)

FLUMINENSE
Ricardo Berna (Fernando Henrique) (Diego), Carlinhos (David), Thiago Silva (Anderson), Roger (Renato Silva) e Ivan (Junior César); Fabinho (Romeu), Arouca (André Moritz), Cícero (Thiaguinho) e Thiago Neves (Adriano Magrão);\n Alex Dias (Rafael Moura) e Soares (Lenny).Técnico: Joel Santana

TANZÂNIA
Mapunda, Chadrac, Hamiz, Sued e Maxine; Dite, Id, Nizar e Kasin; Muakimba e Maulid.Técnico: Márcio Máximo"

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Big up sana Taifa Staz!kazeni buti.Hawa Senegal wetu tu.Kuku kuku tu, Jogoo jina...........Matokeo ya mechi za majaribio 5 mlizocheza Brazil wadau tumelizika nayo sana!

    ReplyDelete
  2. Well done Staz. Wanahabari leteni mambo ya Staz ktk blog. Msifanye kazi kizamani sasa.

    ReplyDelete
  3. MWENYE DATA ATUPATIE KUHUSU WALE WACHEZAJI WAWILI(ELVIS NA LIBE) TULIOAMBIWA WANACHEZA MPIRA WA KULIPWA HUKO MAREKANI WAMEPOTELEA WAPI ? SIONI MAJINA YAO KWENYE HIYO LINE UP YA KI-PORTUGUESE,AU MAXIMO ANAUPENDELEO WA VIJANA WA HUKU NYUMBANI ?

    ReplyDelete
  4. Mpira wa miguu wa kulipwa MArekani? We anon achana kabisa na hao! Hawana mpango ndo maana Maximo kawa-shit!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...