bosi mpya wa shirikisho la ndondi za ridhaa bongo shaaban mwintanga (shoto) akipokewa na katibu mkuu wake na bingwa wa zamani wa uzito wa juu gaston mlay aliporejea karibuni toka majuu

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Michuzi huyu jamaa mwenye shati la kushonesha si PEPE KALLE huyo au wana undugu?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...