rais amani karume akiongoza matembezi ya mshikamano asubuhi hii zenj katika kusherehekea miaka 30 ya ccm

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Kaka Poli

    Mjomba michu, nilikutumia kwenye barua pepe ile picha ya waheshimiwa walinzi wa amani wakiwa wmasisinzia bila ya aibu tena hadharani kule zanzibar wakati wa sherehe za mapinduzi mbona haujaziweka hewani au itifaki hairuhusu - usiogope muswada bado haujawa sheria na huwezi kushitakiwa kwa sheria ambayo haipo.

    usishangae hata hapo walio kwenye hayo matembezi wengine wamesinzia

    kazi nzuri unafanya mjomba.

    ReplyDelete
  2. ANAONGOZA?! mbona kuna wengine mbele yake?

    ReplyDelete
  3. Jamani hao washauri wa wazee ndiyo nini tena kuacha kumshauri boss avae truck suit. Atatembeaje na kaunda suit mwenzenu? Sasa unaona anavyoonekana tofauti kabisa na watu wote. Kila sehemu na shughuli na mavazi yake. Hapa utafikiri anakwenda kufungua miradi ya chama jamani.

    Makosa ni yenu nyinyi washauri. Wazee hawa wana mambo mengi jamani, muwasadie.

    Mapinduzi, Daima!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...