Home
Unlabelled
ccm
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Kaka Poli
ReplyDeleteMjomba michu, nilikutumia kwenye barua pepe ile picha ya waheshimiwa walinzi wa amani wakiwa wmasisinzia bila ya aibu tena hadharani kule zanzibar wakati wa sherehe za mapinduzi mbona haujaziweka hewani au itifaki hairuhusu - usiogope muswada bado haujawa sheria na huwezi kushitakiwa kwa sheria ambayo haipo.
usishangae hata hapo walio kwenye hayo matembezi wengine wamesinzia
kazi nzuri unafanya mjomba.
ANAONGOZA?! mbona kuna wengine mbele yake?
ReplyDeleteJamani hao washauri wa wazee ndiyo nini tena kuacha kumshauri boss avae truck suit. Atatembeaje na kaunda suit mwenzenu? Sasa unaona anavyoonekana tofauti kabisa na watu wote. Kila sehemu na shughuli na mavazi yake. Hapa utafikiri anakwenda kufungua miradi ya chama jamani.
ReplyDeleteMakosa ni yenu nyinyi washauri. Wazee hawa wana mambo mengi jamani, muwasadie.
Mapinduzi, Daima!!