mtandao unaotisha bongo wa celtel unafanya mambo makubwa zenj kwenye sauti za busara. hapa napokea simu, kadi ya muda wa maongezi na kanda ya bure ya youssour nd'our kwenye banda lao baada ya kushinda bahati nasibu yao sasa hivi hapa visiwani

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Namuona dogo Constantine Magavilla yupo anawakilisha sio, bomba sana toka enzi zileeee yaani sijamuona miaka mingi.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...