hassan mhelela (shoto) chaaaaz hilary (kulia) wa bbc wakiwa na robbie earle (nahodha wa zamani wa wimbledon) ambaye sasa ni mchambuzi wa soka wa itv ya ukerewe baada ya kumalizika kwa pambano la carling cup kati ya asenoo na chalsiii uwanja wa milenia huko kadiff juzi ambapo wana wa imarati walilala 2-1. ama hakika mhelela na chaaaz wanafanya mavituz mazito huko waliko kwani wakianza kutangaza mpira hutamani kuondoka. wabongo bwana! we acha tu...

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. nawafagilia jamaa, big up Tanzanians abroad.hawa ndiyo baadhi ya experts wa kitanzania wanaotuwakilisha nje ya nchi, professionally.

    ReplyDelete
  2. Duh Charles Hillary fanyia ukarabati ktk ile nyumba ya Sinza uliyokua unakaa Kaka...sasa ivi imekuwa Makazi ya Nyoka na POPO... Kuna cku utarudi Tz utaumbuka.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...