wasanii toka kuume fid q, mb dogg na ras ryhmson na promota wao. watu wa ukerewe kaeni mkao wa kula kwani md dogg anaelekea huko hivi karibuni. stei tyuunnd kwa habari zaidi...

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Bwana issa, Nina swali? Hivi huyo ras Ryhmson ndo yule jamaa wa KU Crews(Kwanza Unit) Basi kama ndo yeye..Mi sirudi bongo hata kwa gobole, lol He looks like Taleban or some.

    ReplyDelete
  2. eeh bwana eeh, huyo jamaa hapo nyuma siyo Rhymson?!! what happened si alikuwa mtoni huyo? mbona taabani ivyo?? damn!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...