Home
Unlabelled
chuwa
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
This comment has been removed by a blog administrator.
ReplyDeleteFRED SAGANDA AKA SAGANDA BWAY
ReplyDeleteRafiki yangu alinitembelea toka Uingereza akaniletea zawadi ya cd ya wimbo wa Chuwa naye alikuwepo. Niliisikiliza hiyo cd mara nyingi sana huku nikicheka sana. Rafiki yangu akaniambia huyu kijana naye ni muhitimu wa Chuo cha Sanaa Bagamoyo.
ReplyDeleteMwezi Septemba 2006 rafiki yangu mwingine alinitambulisha kwa huyu kijana pale Sweet/Easy. Akanimbia "..Huyu anaitwa Saganda. Hawa ndiyo waliokuja nyuma yenu na wao machizi kama mliowatangulia.." Haukupita muda akaliparamia jukwaa kuimba blues! Siwezi kuelezea, aliwapagaisha na kuwainua watazamaji vitini kwa uhodari wa kuimba blues kama wale wenyewe wanaotokea mitaa ya Mississippi!
Tafadhali naomba unifikishie salamu zangu.
F MtiMkubwa Tungaraza.
Kama sikosei anaitwa Fred Sagenda na kile kibao kinaitwa "ni namna gani?" jamaa ni mtaalamu sana wa kulicharaza gitaa, niliwahi kukutana naye kule bagamoyo chuo cha sanaa kabla hajatoa hicho kibao chake
ReplyDeleteNyimbo hii ya kichaga ya huyu Saganda inaitwa "Raphael" ilikuwa kali enzi zake, mimi ninayo mpaka leo.
ReplyDeleteVerse: "Nilienda moja kwa moja kwa Raphael, Nikamkuta nyumbani anasikiliza R Kelly, nikamuuliza Raphael unayo CD ya Makaveli, akaniambia ana CD ya Makaveli, R Kelly na Mariah Carey"
michuzi ivi hii link ni kweli au ni uongo??
ReplyDeletehttp://bp2.blogger.com/_stxylFr6jLM/RdNx44a2MYI/AAAAAAAABN8/KvoNLLvdDQ0/s1600-h/STA70161.JPG
Kwasababu ehhhhhhhh!!!!
Michuzi hebu tuwekee picha za bongo star seach bila shaka ulikuwepo huko wakinyakua gari
ReplyDeleteHuyeeeeeeeeee!!!!!!!!!!!!!!yeyeyeyeeeeeee!
ReplyDeleteNTOGWISANGU hpe umenijua mi nani!savementeeee,kwa tuliokuwa tukipenda kuchill block H mabibo hostel,watakukumbuka ulivyokuwa ukiwarusha na gitaa lako.hakim,bob,ditos,gata wear,fuko,jerome,humphrey,sam nyau,herbert,babu seya,jerry,ilikuwa soo,nazimiss sana moments hizo,yeyeeeee!
Huyo anon hapo juu sijui aliifuma wapi hiyo picha! Hebu tueleze hilo lidude ulikuwa unalipeleka wapi?
ReplyDeleteAnayeulizia Bongo Star search hajui kuwa Michuzi ni mbaguzi. Huwa hapendi kabisa kujihusisha na mambo ya Ippmedia. Kama ukichunguza utaona hata pale kenye links zake za vyombo vya habari vya Bongo ippmedia au nipashe haipo wakati wao ndio pioneers wa kuweka habari za bongo kila siku mtandaoni.. Jamaa sijui ana 'beef' nao au ni wivu tuu!!
ReplyDeleteHuyo ni Fredy Saganda, nakumbuka vipaji vyake pale Chuo cha Sanaa Bagamoyo, miaka ile kuanzia masahili, tulivyoanza first year pamoja na hadi kuhitimu. Si muziki pekee, bali Sug-under-bway (Saganda boy) pia ni cartonist, muigizaji na ana vipaji vingine vingi tu vya sanaa. Michuzi nifikishie salam zangu kwa Saganda/Mie Kiagho. Pia napatikana graduates.com
ReplyDeleteHivi wa ndugu mnajua kama Fred Saganda,a.k.a SAGANDA BWAY, anashindwa tena kutoka na wimbo wowote? Kwani kisanii ukitoka na wimbo au style inabidi uendelee na identity hiyo unless otherwise umeshakuwa maarufu so unaweza kubadili style. Sasa ndugu yangu Saganda alipotoka na style ya kichaga, wakatokea akina Mr. Ebo, Mlevi, Mkurya, Mpare nk. style ikawa imevamiwa na makabila kibao. Saganda akakosa umaarufu tena kwenye masikio ya watu. Na mbaya zaidi ule wimbo ulipelekwa redioni bila yeye kuwepo, kwani wakati ule yeye alikuwa Norway. Sasa umembana sana msanii huyu mahiri kutoka tena, anashindwa kujua atoke vipi ili kujenga na kukuza jina, pia kuwabeba mashabiki wake.
ReplyDeleteSaganda ni mahiri kwa style mbali mbali, akiimba Kispanish, utajiuliza, akiimba reagey, utabisha, akiimba ragga utakataa, akiimba Slow utalalamika, akipiga guitar ndo utagombana. SHAURI YAKO. The guy is talented.
Nimemshauri sana ndugu yangu huyu, aturushe tena redioni na atoe album, lakini amekuwa mgumu kwa kudai hajui atoke vipi. sasa amebakia kuwarecord vijana kule Bwagamoyo. He is Bongo's Wyclef Jean, I can say. Nawaomba wana blog kama mnaweza kumshauri huyu msanii wetu, atoke vipi ili arudi kwenye anga na yeye auze albums, na akae kibiashara kimuziki kama wanamuziki wengine.
mzee michuzi tusaidie na huo wimbo ,tupe kazawadi basi tutashukuru!Tmo
ReplyDelete