kwa hisani ya kampuni ya timeline media nawaletea baadhi ya sehemu ya picha za filamu mbili, 'victim of love' na 'super model', ambazo zitaingia sokoni karibuni katika harakati za maprodyusa wa bongo kula sahani moja na wa naijeria kwenye uwanda huu.
hapo juu ni sehemu ya 'supa modo' ambapo mrisho zimbwe a.k.a titto anaonekana akiziingiza kwa supa modo cute malisa
ukitaka kujua zaidi wasiliana na maprodyusa kupitia bongofilms@gmail.com

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. hivi hizi movie hawawezi ktutmia title za kiswahili...whats the point movie kuitwa SUPER MODEL then mnatumia kiswahili..afadhali iitwe MREMBO

    ReplyDelete
  2. This comment has been removed by a blog administrator.

    ReplyDelete
  3. Ni ujinga mtupu. Watanzania kwa kuiga. Sasa super Model mara lugha kiswahili kwenye movie kama sio ujinga ni nini? Fikirieni kabla ya kurkia mambo!!

    ReplyDelete
  4. hiyo e-mail ya bongofilms@gmail.com
    ukiwaandikia nayo pia hawajibu sasa sijui hawajamaliza kutunga mashairi yao na ngonjera zao katika movie hizi zao, yani hata kinachoendelea mtu hufahamu simu hawaweki watu tulio ughaibuni wanatutia hamu na shauku na kiu kubwa hawafahamu ni faraja kubwa kuona movie zetu za nyumbani na mambo ya nyumbani inakuwa ni burudani kubwa sana, sasa tukueleweni vipi wakati mnaweka e-mail zenu na hatujibu je hizo simu hazifanyikazi au hamtaki watu wa ughaibuni wanunue kanda zenu basi whats is the point mkatangaza movie zenu na michuzi sometimes na wewe ukiweka matangazo wa watu ufahamu watu wa ughaibuni tukiona vitu kama hivi huwa tunahamu navyo sana sasa kama contact zao hakuna basi usituwekee aah!! yani mna bore kichizi wewe michuzi na hawa jamaa.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...