zamani ilikuwa hoteli ya forodhani na sasa ni makao makuu ya muda ya mahakama ya rufaa ambapo kuna ofisi ya jaji mkuu na majaji wa rufaa

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Kwa hiyo hotel ya Forodhani ipo wapi siku hizi? Na pale kwenye mahakama ya Rufaa opposition na Foreign Affairs imekuwa nini sasa hadi mahakama ihamie Forodhani?

    ReplyDelete
  2. wewe kama kizungu hujui bora usikitumie,tumia lugha ya taifa kwa ufasaha sasa hiyo opposition unamaanisha mkabala(opposite)au upinzani???

    ReplyDelete
  3. wewe acha ufala, mbona umeelewa nimesema nini? Hiyo shule yako ndogo, hapo tatizo sio kizungu babu bali ni kitu kinaitwa Typo. sijui hata kama unajua maana yake. Elimika.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...