kabla ya kupaa hasheem thabeet aliwahi kushiriki kwenye bongo flava kama msanii wa east coast. hapa anapozi na mandojo na domokaya enzi hizo

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Big up for Music Mayday's annual B-Connected Festival at which this pic was taken in May 04! Look out for the upcoming B-Connected Festival happenin this May 20 at Mnazi Mmoja DSM...cheers michuzi... Karibu Music Mayday!

    Making the World a Global Stage.

    ReplyDelete
  2. kaka michuzi huyu dogo amepaa kwenda wapi hebu tupe nyeti zaidi

    ReplyDelete
  3. Hasheem anasakata mpira wa kikapu kwenye chuo kimoja USA. Kwa kweli dogo anajitahidi na anasaidia kusambaza jina la TZ huko, sio utalii tu, bali kwenye BBall tupo.

    ReplyDelete
  4. Huyu kaka ni mrefu kweli heeee! AU hao aliosimama nao ni vitoto tu?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...