mstaafu bwm na mama anna wakiwa na wenyeji wao ikulu nairobi. ingawa katundika daruga lakini mzee wetu huyu bado anaalikwa kila mahali kwa busara zake. ni fahari ilioje kwa wabongo

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. michuzi kenya nako mahali???? acha hizo bwanaa.

    ReplyDelete
  2. Huyu Nkapa jamani si nilisikia akimaliza tuuu uraisi yeye na mkewe ndiyo basi yameisha,au ni wabongo walikuwa wanachonga sana kwa mambo wasiyojua kama kawaida yao.

    Safi sana mmependeza Nkapa,ila usiwe uso kama bania mbichi umekula ruswa sana lionee kwanza!!

    ReplyDelete
  3. Ila ule ugomvi wa mzee Nkapa Na mkewe umnlemaza chinga wa watu. Yaani mguu wake bado haujapona si unaona hapo kasimamia mguu mmoja, mmoja umegusa chini kuua so, kama kamuegemea mama kibaki mpaka nae kabend kulia, Pole ila mpige chini huyo mama mkataba si uliisha baada ya kumaliza ka muda kako

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...