sir juma nature (kulia) na inspekta haroun wakipagawisha kwenye tamasha la sauti za busara pale ngome kongwe usiku huu. toka sir nature kujiengua kundi la wanaume family la kule temeke na kuanzisha 'wanaume halisi' amekuwa akipanda chati si mchezo

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. dah... kweli wagombanao ndio wapatanao

    ReplyDelete
  2. Jamani naombeni msaada.
    hawa kuna kipindi nilisikia wamegombana. Je wameshapatana. Maana Huyu nature alikuwa anambonda mwenzie sijui huwa hata wanagombania nini hawa.
    Lakini kama wamepatana its great. Maana chuki za kipuuzi hazina maana.

    Kila la kheri

    ReplyDelete
  3. Siku zote wanaogombana ndo marafiki wazuri. Kama hamgombani, ni wanafiki, maana haiwezekani watu make pamoja msigombane!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...