Home
Unlabelled
kande
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Aaaah Michuzi si unajua kuwa,msahau kwao ni mtumwa?Huku nako makande yapo ukiyataka au kuyatamani.Ni jana tu nimekula makande ya nazi,ingawa nazi yenyewe ilikuwa ya kopo.
ReplyDeleteYEE TONIII NETHIMAN JE CHA OKADHEE IKI MICHUZI ETHIMAN JE HENA MAKANDE SEHEMU YOYOTHE AHA AMERIKA AMBU HE MADUKA YA VHAA SPANISHI HENA MAHINDI YALIYOKOBOLEWA.
ReplyDeleteUSINIKUMBUSHE ILBORU UKANIACHA NINALIA KITEI(WALI NYAMA),KANDE(MAKANDE),KICHUI(UGALI MAHARAGE).
BINO(MUSHI) NA MZULU(MEDUKENYA) NINAWASHUKURU KWA UONGOZI WENU JAPO WAKATI ULE TULISUGUANA KIDOGO.MTUI ULITUHARIBIA SHULE YETU MAARUFU TZ.
AISEE MICHUZI WE ACHA TU NATAMANI SANA HAYO MAKANDE MARA YA MWISHO NILIKULA MWAKA 2003, HEBU FIKIRIA.
ReplyDeleteMichuzi unisiambie mambo ya lifti vale yanaleta makande kwenye harusi.Maana hiyo picha inaonekana ni mnuso wa nguvu huo.Soon itakuwa ugali na mahargwe kwenye harusi ukiingia ungonjwa wa mahindi yasiyosagwa kuwa unga.Tuombe Mungu.
ReplyDeleteSikujua tooth pick nazo chakula cha kuwekwa kwa sahani. Usinikumbushe housegirl wangu nilimkuta anapiga watoto wangu, kuuliza kisa? Wanamaliza tooth pick, wakichukua wakazitumia hawakumbuki kuzirudisha!
ReplyDeleteDu mzee michuzi , mimi mara ya mwisho kule kande ilikua 2003, alafu babake yalikua yamepikwa na mpare mmoja hivi, kande limechanganywa na iliki pamoja na nazi, dah! yule mtoto!, tulikombea kila kitu. Dah niya miss kinoma!
ReplyDeleteWashkaji hayo makande ni kama manjonjo tu ya traditional food zetu kwenye harusi hiyo ambayo ilifanyika malaika house - Cine club na bwana harusi upande ni mpare, wanayeishi na biharusi wake UK. Harusi ilifana!!!!
ReplyDeleteMichu, Majuu pumzi yako tu kila kitu kipo hata nazi za kukuna kama ukiwa na mbuzi. Of course thanks to immigrants.
ReplyDeleteSasa huyo mtoto umemficha ili tusijue kwamba yeye ndo amekula kande nyingi?
ReplyDeleteMuweke basi tumwone mrembo huyo akibugia kande
Hizo toothpicks inaonekana ni za kuchukulia matunda na keki hapo. Kazi kwenu!!
ReplyDeleteKaka Michuzi una roho mbaya wewe. Ndio nini kutumanisha. Mara ya mwisho nilikula makande ilikuwa ni enzi za boarding school Makumira, Arusha. Hahah. Those were the days.
ReplyDeleteMtoa Maoni: Anonymous wa saa Monday, February 26, 2007 1:41:00 PM, wewe ni kama housegelo wako! (CHEKA)!
ReplyDeleteTooth picks hizo si za kuchokonoa TU kile kilichoingia na kung'ang'ania menoni!
Wakati mwingine hutumika kama uma, kwa mfano, kutunga vipande pande vya jibini, vipande vya mayai ya kuchemshwa, vipande pande vya maini ya kuku au ng'ombe yaliyokaangwa ama kuokwa, kadhalika.
Natumaini hapo pichani tooth picks hizo zinatumika kwa ajili ya vipande vya watermelon kuliko kuvikamata na mikono ama uma! Hakuna ubaya wa kuziweka hapo.
Watu wengine hula na mikono michafu. Kwa hiyo, tooth picks hizo ni level moja kubwa ya usafi, kiafya.
Aloo avae avae !!!!
ReplyDeleteThela wee !!
thats my Favourite food, boding niliyala hadi basi japo hata hayakuwa yakiungwa vizuri, unajua kuna makande ya njugu pia, wee it taste so nice, makande yangekuwa yanaiva haraka kama wali au ugali yangeipata, but anyway ni chakula cha hamu so huwezi kula kila siku kwani tumbo nalo likijibu inakuwa balaa,
ReplyDeleteila michuzi usiwaringishie watu wa majuu hayo makande kwani nasikia huko vyakula vya nyumbani viko vya kumwaga, nina mafiki huko hasa uk, wanasema maduka ya wahindi na warabu hata tesco na sainsbury, n.k,kuna vyakula vya kiafrica, pia kaona hata unga wa bakhresa toka dar, so kwa mambo ya msosi hawamiss sana,
kazi njema michuzi
NB: watu mliosoma shule za moshi mnakumbuka 'makukulu' ni matamu pia, ni kama kande ila mahindi hayakobolewi pia yantiwa magadi, haluuuuuuuu