Home
Unlabelled
maini
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Kumbe ni kweli 'time is the best healer' juzijuzi mmepigwa bao 9 na Arsenal in one week!!!!! umeshasahau....
ReplyDeleteWasemaje kuhusu ugeni wa Man Utd huko Anfield J'mos mchana?
(k.o. 12:45 GMT)
Nomaa, huyu mshikaji wako nani kamwambia style ya upara inampendeza? mwambie kichwa chake kina matuta kama ya shamba la mchicha!
ReplyDeleteDouble M.
ReplyDeleteMichuzi M na Mugasa M...
Big Up washikaji wa bombaDesigns....
hiyo harusiyangu.com ipo OK
Pongezi kwako Michuzi na wewe kwa ubunifu wa kufanya vitu tofauti tofauti.
Mara Paparazi, ukaja ukawa mzee wa blog na sasa unaanza (japo husemi) kuwa Mjasiriliamali.
Endelea kuzitambulisha kazi za wabongo ili zitambulike ndani na nje ya ist afrika mashariki.
ombi langi tu ni kwamba usiigeuze blog kuwa jalala la kila kazi ya mbongo unaemjua kuja kubandika kazi yake. weka vigezo na mkakati wa kuinua ubunifu wa kazi za wabongo na kuwatoa kimasomaso. Kazi ziwe NZURI.
BW MICHUZI NAOMBA HIYO JEZI SIKU YA JUMAMOSI USIIVUE UIVAE HIVYOHIVYO.
ReplyDeletetena nitavaa ya njano na ujumbe nitakutumia baada ya mechi. upo hapo anony hapo juu na wengineo? sie bwawa la maini ni neva wok aloni hata iweje. naona inawauma sana tunavyoselebuka siku mbili hizi, na bado!
ReplyDeletesafi sana
ReplyDelete