hapa ndo kendwa rocks beach kiasi cha kama km 55 kaskazini ya unguja. roho yaniuma kwani holidei inayoyoma wikiendi hii...

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Yawezekana wadau hawajagundua,
    lakini hii picha michuzi umeipiga kiufundi kwa sana.

    nimekukubali kwa upaparazi.....
    jua kuna wadau wa blog yako wanajua QUALITY..

    ReplyDelete
  2. Hiyo 'distance', unaongelea kutoka mji wa Zanzibar au kisiwa cha Unguja?

    ReplyDelete
  3. kendwa beach iko kaskazini mwa kisiwa cha unguja kiasi cha km 55 toka zanzibar mjini. samahani kwa usumbufu...

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...