vibanda vyooooote dar vimeondolewa isipokuwa hiki jirani ya embassy hotel na imalaseko...

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Au ndio mambo ya "idara maalum.."???
    ni kweli, hiki ndio 'the last man standing', sikuwahi kujiuliza kwa nini hiki kibanda hakijafumuliwa na watoto wa kandoro.

    ReplyDelete
  2. jungu kuu halikosi ukoko!

    ReplyDelete
  3. Kibanda cha michuzi hicho jamaaani kwani na mishuzi/michuzi ni mwana idara maalumu

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...