wafanyakazai wa maduka ya shoprite leo...

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 44 mpaka sasa

  1. Hiki kiswanglish kimeoza jamani, nataka kutapika.

    ReplyDelete
  2. Kisawasishe tu you don't have to be so dramatic.

    ReplyDelete
  3. This comment has been removed by a blog administrator.

    ReplyDelete
  4. as much as tunataka kutukuza na kukuza lugha yetu ya taifa. Kiingereza ni lugha muhimu. Sasa hata wa kuwasahisha waajiriwa hawa na maandiko yao hakuwepo? Kweli kazi ipo.

    ReplyDelete
  5. kuna ujumbe hapo.........!

    ReplyDelete
  6. Watanzania tuwe serious! kwani kutojua kiingereza sahihi ni tatizo? After all hii ni lugha ya tatu au ya nne ya hawa jamaa..wengi wanaanza na kilugha, kiswahili nk...kuna wazungu wengi ambao kiingereza hakipandi kabisa..wengine wanaongea kispaniola, kifaransa nk. Wakiwa wanaongea kiingereza mpaka unashindwa kuwaelewa, lakini hao hatuwachambui hata kidogo (sijui kwa vile ni wazungu)!!... Lakini kwa sababu hawa ni waafrika/watz wenzetu tunaona kama ni wachemkaji! This is not fair..English is not their first language. Mwingine atasema..kwanini wasiandike kiswahili? labda ni kweli..lakini hawa watu NI WANYONGE!! wanataka kuonyesha hisia zao!! na wanafanya hivi kujaribu kufikisha ujumbe maana tajiri ni kaburu! na nina imani kaburu wa shoprite akiona hii broken English ataelewa tuu! ni bora kuliko kiswahili katika kufikisha ujumbe kwake!! Siwatetei..ila in general watanzania baadhi yetu tumezidi kwa kuona kwamba kipimo cha usomi ni kujua kiingereza!! hili si sahihi nionavyo mimi!! na tujuwe kwamba tunaojua kiingereza ni kwa sababu tumepata nafasi ya kusoma na kufika mbele kielimu. Jiulize kabla hujaenda shule ulivyokuwa unajaribu kuongea broken english!! yote ilikuwa ni kujifunza lugha ya mwingereza! Mimi nikienda kijijini kwetu always utakuta vijana ambao ulisoma nao, ambao hawakubahatika kufika mbele wakijitahidi kuongea broken english..well unagundua kwamba wanatumia lugha mbovu,, lakini unaelewa kabisa..wanataka kuonyesha kwamba na wao hawako nyuma wanaelewa kitu. Mzungu akiongea kiswahili broken, tunafurahia kabisa kwa kuona kwamba anajitahidi! why not commend our brothers wanaojaribu kumpelekea ujumbe kaburu?? Jamani mi naona..mjadala wa lugha ni mgumu, lakini sijisikii vizuri watu tunapoona kwamba kiingereza ndo kigezo cha uelewa wa mtu..na hii sio kwenye blog ya kaka Issa tuu...most of the time watu wanachambua wenzao kwamba kiingereza hawajui especially katika kutoa maoni kwenye mitandao mbali mbali....so let it be known kwamba kiingereza wengi wetu sio lugha mama! kwa hiyo as long as tunaweza kuongea tukafikisha ujumbe, tukasoma tukaelewa, tukafanya tufanyayo kwa mafanikio basi hatuna haja ya kuwaona wenzetu kwamba ni mabwege kwa sababu tuu hawawezi kuongea au kuandika kiingereza sahihi. Hata ungeleta mzungu akakaa bongo miaka makumi na makumi.."atakuwa na accent tuu"!! Naomba kutoa maoni yangu.

    ReplyDelete
  7. Duuu hao jamaa wamechemsha mno ni bora wangeandika hilo bango kwa kiswahili maana walichokifanya wamefanya wametafsiri moja kwa moja toka kiswahili kwenda kingereza

    ReplyDelete
  8. Pamoja na kwamba ni kweli kuwa watanzania wengi Kiingereza kinatupiga chenga, siamini kwamba hawa jamaa wa shoprite waliofanya mgomo na maandamano leo/jana ambao kwa gazeti nililolisoma ippmedia waliokuwa takribani 300, hakuna ambaye kweli aliona kunahitajika marekebisho makubwa katika hilo bango lao? ingawa hii lugha sio yetu, lakini nafikiri ni aibu kuandika kiingereza hivyo. Kwani kulikuwa na haja gani ya kuandika hilo bango ambalo wao wanaonekana kulipalilia sana kwa kiingereza wakati wao wote wako Tanzania, na kama walitaka hao mabosi wao makaburu waelewe, si wengetafsiriwa na mameneja ambao ni watanzania ambao hawakugoma jamani?
    mie nafikiri hii ni aibu sana.....maana kuna msemo unasema ni bora asiyejua na kutambua kwamba hajui, kuliko asiyejua na kuktotambua kwamba hajui.....
    Pamoja na kusema hayo yote hapo juu, hawa wafanyakazi wana madai ya msingi kabisa ambayo ni ya mikataba ya mazingira ya kazi na mengineyo.
    Mungu ibariki Tanzania

    ReplyDelete
  9. Pumbafuuu kabisa hebu rudini kazini!!! mUvivu tuu..Tanzania ndio maana hatuendelei

    ReplyDelete
  10. duh!!!!!mi mwenyewe nimekoma!

    ReplyDelete
  11. Actually hawa walitaka kusema nini?

    ReplyDelete
  12. Hatuiji mengi, lakini Shoprite wamezidisha.

    ReplyDelete
  13. ahaaaa kingereza hiki jamani!!"IS THAT ENGLISH OR SOMETHING RELATED TO ENGLISH"? Kama hatujui kiingereza kuna umuhimu gani wa kuongea kitu ambacho hatukiwezi jamani???Hebu nikutolee mfano kwenye miss Tanzania warembo huwa wanatakiwa kujibu kwa kuchagua lugha moja kati ya kiingereza na kiswahili lakini wengi kama siyo wote huchagua kujibu swali kwa kiingereza!lakini hicho kiingereza chenyewe ukikisikia aibu!hebu watanzania wenzangu tutumie lugha yetu nzuri ya kiswahili.

    ReplyDelete
  14. Hao jamaa mwajiri wao hajui kiswahili kwa hiyo wamelazimika kutumia lugha ambayo wanaamini ataelewa, na kama kwa kiingereza hicho wamekuwa wakielewana siku zote mimi naona ujumbe umefika.
    Kuhusu wao kugoma, hayo ni mambo ya kawaida hata ulaya, mtakumbuka last year wafanyakazi wa British Airways walitaka kuanza mgomo mwajiri akawasikiliza, chakuhoji hapa ni kwa nini waajiri bongo hawasilikilizi wafanyakazi? Ni sheria haziko sawa au ni kwa sababu hata wakitimka wengine wapo kwa mamia wanasubiri kuajiriwa?!
    JK tupa jicho hapo, maana hawa jamaa naona itabidi tuache kuwaita wawekezaji na turudie lile jina lao la asili "WANYONYAJI"

    ReplyDelete
  15. Watanzani wengi wamezama kwenye itikadi ya kiingereza tu. Hawathamanishi kabisa lugha yao. Nakumbuka miaka ya tisini mwanzoni, wazazi wenngi walipeleka watoto wa shule za awali nUganga na Kenya wakitegemea kuwa wangepata kiingereza kizuri. Ndiyo walipata. Lakini watoto hao sasa hivi ni kero kubwa sana kwani hawawezi kabisa kujiunga na kuhimili vishindo vya vyuo vyetu ya juu vya elimu hapa TZ. Weupe na hawajui kitu. Kiingereza tu! Kwa sababu, kujua Kiingereza siyo kwamba ndo umejua kila kitu. Wachina, Warusi, Wajapan, Spain and Scandinavian countries hawajui na wala hawana mpango na kiingereza kwenye mitaala yao. Lakini angali wako wapi sasa hivi kimaendeleo!

    Point ya maana ni kwamba, hawa jamaa walitakiwa waandike Kiswahili bango lao ili tujue wanachotaka. Lakini kuwasagia kuwa hawajui kiingereza ni utumwa-ukoloni mambo leo.

    Tuwe makini sana na tusiwe limbukeni. kuna jamaa hapo juu kasema kuwa mswahili ukiongea broken English watu wanakushangaa, lakini mzungu akiongea broken swahili, watu wanafurahia! Vitu vya ajabu hivi.

    ReplyDelete
  16. jamani,walikua wanamaanisha kuwa hawahitaji mshahara mkubwa zaidi ila uongozi unawapa mshahara kiduchu sana. lol

    ReplyDelete
  17. We anony wa saa kumi na moja kasoro nne alfajiri nakubaliana na wewe kimantiki lakini na wewe ujifunze kuandika! Kwanza comment yako ni too long na hujui kabisa kutumia paraghraph hivvyo unakosa mtiririko mzuri wa mawazo yako.

    Kama nilivyosema hapo awali, hoja yako nimeipenda tatizo flow kaka. Katika kusoma hapo nimekuwa narukaruka kutafuta mantinki na ku summarise hayo maneno yako. Inshort it is very poorly written, jirekebishe (hii ni constructive criticism tu, hakuna ubaya)

    ReplyDelete
  18. Ukisoma sana utagundua jamaa wamefikisha jumbe nyingi sana kwenye bango lao...la tukitaka kujadili nadhani hatutamaliza maada zote.
    1. Kiswahili kama lugha ya kufundishia chuo kikuu ?
    2. Kiingereza kifundishwe kuanzia darasa la 1
    3. Tupanueje kiswahili hasa muda huu ambao kimekubalika kama lugha ya Africa
    4. Wawekezaji na mishahara - si wanalipa juu ya kima cha chini ?
    5. Uhuru wa kugoma kazi
    6. Ni nini kinafanya mfanyakazi alipwe mshahara mkubwa ? Proffesional Jobs/Un skilled labour
    7. Ukosefu wa kazi Tanzania - (si wangeresign tu kama hawatosheki na mishahara ?
    8. Labour market
    9. Utumiaji wa mabango kufikisha ujumbe kwa adhira
    10. Mchango wa wakekezaji kwenye uchumi
    11. Je ni muhimu serikali kupanga viwango vya mishahara kwa sekta binasfi
    etc etc etc etc etc etc...ni mengi mno

    ReplyDelete
  19. nyie wote mliocomment hapo juu hamjui kiingereza. we are not need much ni english sahihi. hii haina maana ya we do not need much bali ina maana ya noun kwamba wao wenyewe sio character ya need much. muende shule na kama mtu hajui falsafa ya english anyamaze nyie mnataka kile cha primary cha we do not need much hiyo inawakilisha verb ila hawa hawana maana ya kuwakilisha verb bali kueleleza noun. najua niko juu sana hamtanielewa. na waliposema shprite is too much wana maana ya hali ya kazi ilivyo hapo pia hapo kuna maelezo ya noun fulani hivi. hiki ni kiingereza cha juu. wazungu wameelewa ujumbe huo. msipayuke. aliyefanya degrees za literature anisaidie hapo watu waelewe zaidi.

    ReplyDelete
  20. Hawa wafanyakazi waache ujinga mara moja na kurudi makazini mwao. Nchi zingine hizi kazi za supermarket wanafanya high-school drop outs kwa sababu hazi-afford mishahara mikubwa. Supermarkets zina operate at very low profit margins kwa taarifa ya wale wasiojua.

    Shida yetu TZ utakuta jitu lina degree halafu linaenda kufanya shoprite kama muhudumu. Nsi ndiyo mwanzo wa kuanzisha kunji.

    Kwanza wanaleta picha mbaya kwa wawekezaji. Hebu wakafungue supermarket yao halafu wajilipe mishahara hiyo mikubwa wanayootea.

    ReplyDelete
  21. Asante Anonymous wa Wednesday, February 28, 2007 2:00:00 PM, kwani umenikosha roho kwa kujua kuwa UNAJUA zungu kama mwingereza mwenyewe! Hivi ndivyo tulivyokuwa tunamaanisha! wale wanaotulazimisha kurudi kazini naomba WAKAE kimya, hili ni GOZI letu tuachieni wenyewe tulitafune.PUMBAFU KABISA nyie!! Utafikiri hamjawahi kugoma!! Ukinyimwa hako kapaundi kwa saa hulipi chumba cha kuchangia hapo!!

    ReplyDelete
  22. Watu wengi hapa wanakosoa tu lugha tu bila kujadili madai ya hao watu.Mimi sidhani kama usahihi wa lugha ni kitu muhimu hivyo kuliko madai ya hao walalahoi na waamka taabani.Jana nilikuwa naongea na marafiki zangu hapa (UK) kutoka sehemu mbalimbali za Ulaya na ilikuwa kazi kuwaelewa kutokana na wao kutofahamu kiingereza vizuri ila ujumbe ulifika tu na mazungumzo yalinoga.Kwa wale wasifahamu kinachoendelea bongo ni kwamba,kwa kawaida, hizo kazi za supermarkets zinafanywa na waliomaliza form 4 au form 6 na sio watu wenye degree.Wenye degree wanaajiriwa sana na serikali kuu au serikali za mitaa na mishahara yao( kwa mwaka 2006/2007) inaanzia Tshs 206,000/- hivi(TGS D) au Tshs 232,000?- (TGS E) ingawa hizi salary scales zinatofautiana kidogo kati ya serikali kuu na serikali za mitaa,hata kwa majina yake tu.Hivyo si sahihi kudai eti wana degree na hawajui kiingereza.Pili, watu wa umri wao wengi ni wale waliosoma shule za mwembeni ambako elimu ni duni sana sembuse hicho kiingereza chenyewe.Lakini miaka hii kiingereza kinafundishwa kuanzia darasa la kwanza na sio la tatu tena.Kuna ambao hawajui ila hizi superstores za bongo zinaingiza faida sana kuliko tunavyodhani.Wananunua baadhi ya bidhaa bongo kwa bei ya kutupa ila wanauza kwa bei kali sana,kama vile kahawa,chai,korosho na nyinginezo.Hivyo si sahihi kulinganisha faida(in %) ya superstores za ughaibuni na hizo za home.Pia mjue kuwa hko nyumbani hao wawekezaji hata kodi hawalipishwi ipasavyo.Siwaelewei watanzania wenzangu wanafurahia kuona wenzao wakilipishwa Tsh 120,000/- kwa mwezi mzima;huu ni utani.Tena ni malipo yanayofanywa na mwekezaji wa kigeni anaendesha biahara hizo katika nchi lukiki Afrika.Au tunataka wao wenzetuwa home walipwe kiduchu ili tukirudi bongo au tukiwaona ktk blog hii wamechoka kimaisha tuwakoge? TUJADILI HAYA MADAI YAO KWA UPANA ZAIDI.SIO TUJADILI KIINGEREZA TU.LENGO LA HAO WENZETU NI KUWAFIKISHIA UJUMBE WAMILIKI WA HIYO SUPERMARKET AMABO HAWAJUI KISWAHILI NA WALA SIDHANI ETI WANAPENDA LUGHA AMBAYO HAWAILEWI VEMA.MAONI MENGI HUMU NDANI YANAONYESHA UHALISIA WA NDANI WA WACHANGIA MADA.WATANZANIA TUSHIKAMANE,WAWEKEZAJI WANANYONYA MALIASILI ZETU,WANADHULUMU WATU WETU NA WANACHEKEWA NA TULIOWAPA KURA ZETU!

    ReplyDelete
  23. Tazama mfanyakazi,mshaharawe wa mwezi
    Utani wa uchochezi,hautoshi hata nazi
    Ujira wa moja juma ati ndio wa wote mwezi,
    N'vipi asiwe mwizi,nani asiemaizi?

    MASHAIRI YA CHEKACHEKA,TEOBALD MVUNGI.HILI NI SHAIRI LA "MFANYAKAZI" KAMA SIJAKOSEA,MAANA ZAIDI YA MIAKA KUMI IMEPITA SASA TANGU NIYASOME SHULENI(O-LEVEL).

    Kuhusu hayo mambo ya mishahara na viwango vyake bongo(hoja niliyoisema ktk maoni ya juu kabla ya haya) nitaishughulikia na nitamtumia kaka yangu Michuzi na data kamili,inshaallah,ili tuone watu wetu wanavyolipwa na hao wageni tunaowakumbatia.Lakini mnawajua wateja wa Shoprite jamani? Ukirudi bongo nenda ktk maduka yao ukachunguze kwa undani;machozi yatakutoka ukiujua ukweli!

    ReplyDelete
  24. We unayejifanya una degree ya Literature msanii sana, ha ha ha. Eti noun, verb etc hamna kitu hapo na kwanza hauna shule. Hiki sio kiingereza

    ReplyDelete
  25. Tatizo ni "influence" ya JUWATA na tamaduni za migomo. Ukweli ni huu -- tupo kwenye soko huru. Kwa hiyo, kama mwajiri hakulipi vizuri, unatimka taratibu katafute kazi sehemu nyingine. Unless ajira ya Bongo siyo "employment at will".

    Sheria ya nchi imeweka bayana kiwango cha chini cha mshahara, kama wafanyakazi wanalipwa chini ya kiwango hiko, wana haki ya kuleta longo longo, vinginevyo wanyamaze.

    Hivi wabongo wangapi wamepanga foleni nyuma yao wakihitaji ajira?

    ReplyDelete
  26. We anon Feb 28 saa 2 usiku hapo juu inaonekana wewe ndo hujui unachoongea. Maana unajilinda sana kwa kusema labda uko juu sana kuliko sisi. Juu kivipi? Hii blog anaangalia kila mtu na hakuna mtu aliye juu ya mwenzake.

    La msingi post comments zako na kama zinalipa ndo umuhimu wa blog kwa Watannzania wote. Siyo kusema ..labda uko juu na hatutakuelewa...,! Wacha hizo za kizamani. Umebwabwaja hapo juu na sasa hata hueleweki! Bado unadai "..uko juu labda tusikuelewe?!""? Tema points na mavituz ya maana tukuelewe.

    ReplyDelete
  27. Wewe, Mtoa Maoni: Anonymous Tarehe Wednesday, February 28, 2007 11:46:00 AM, unamlaumu anony wa saa kumi na moja kasoro nne alfajiri kwa kutojua kuandika!

    Wewe pia kujui kuandika maneno “paragraph” na “in short” Unayaandika, “paraghraph” na “inshort”.

    Kinyegere mcheka paka kuwa mchafu!

    ReplyDelete
  28. Anony wa 2:00 pm wewe kichwa kweli.Sikuwa nimeligundua hilo pia.Hawa wafanyakazi wanasema wao sio "need much" ila Shoprite "is too much".SIONI MAKOSA KABISA HAPO.WENGI WANADHANI HAWA JAMAA WALIKUSUDIA KUSEMA "WE DONT NEED MUCH....." kumbe sivyo.SASA MLIOCHANGIA HAPO JUU MPO TAYARI KUOMBA MSAMAHA? Wengine wanasema eti wanatoa picha mbaya kwa wawekezaji kwa kudai haki zao;je hao wawekezaji wanatoa picha gani kwetu kwa kutunyanyasa nchini kwetu au na wewe pia ni mwekezaji dhulmati?

    ReplyDelete
  29. Tarehe Wednesday, February 28, 2007 11:46:00 AM, Mtoa Maoni: Anonymous, acha kuwa jajji bingwa!

    Kwanza, jifunze "spellings" za Kiingereza za manneo uliyoandika:
    paraghraph
    inshort

    Pili, Kiingereza chako cha kuandika: Inshort it is very poorly written...

    Si sahihi!

    Kiingereza sahihi:

    In short, it is very poorly written...

    ReplyDelete
  30. Bango hilo lina "contents" za maneno ya Kiingereza.

    Wengine kati yetu wanaangalia "contents" na kutamati kuwa hicho si Kiingereza sahihi.

    Wengine kati yetu wanaangalia "contents" zinaunda "contexts" gani zielewekazo.

    Makundi haya mawili ni sahihi.

    Mimi nafikiri hivi:

    Kwa kuandika:
    We are not need much
    Ni sawa na kuandika: We are not the "need much" type of workers.

    Maana yangu ni kuwa pengine kuna vilivyotangulia...pengine mwajiri kawaita wagomaji:
    The need much!

    Au kwa kuandika:
    We are not need much
    Ni sawa na kuandika:
    We are not demanding much.

    ReplyDelete
  31. THE MESSAGE IS SHORT AND CLEAR. YEYOTE AMBAYE HAKUELEWA ASOME TENA NINAHAKIKA ATAKUBALIANA NA USTADI WA LUGHA ULIVYOTUMIKA.
    KAMA HUJAELEWA USIONE AIBU KUULIZA.

    ReplyDelete
  32. Mimi huyo anayesema kuwa yuko juu pumbavu tu nani yuko chini...? Kama uko juu huku kwenye blog ya michuzi unafanya nini....kama humjui anayeandika huku usidharau mtu ...Wewe kama umeelimika waelimishe watu basi. Mambo yakusema uko juu ni upungufu wa busara...Sisi tunaamini usawa wa watu...kama uko US tazama hiki kipindi (fox 5) Are you smarter than a firth grader? Jana a graduate from UCLA na law degree ameipata kwenye another prestigious college too lakini alishindwa kujibu swali hata moja ambalo mtoto wa darasa la tano alijibu...I think umepata point yangu.

    Back to shoprite workers. Sidhani kuwa wamekosea kitu...Mimi ujumbe wao nimeupata kuwa "we are not need much...yaani wao sio watu wanaopenda makuuu ....you get my point....

    ReplyDelete
  33. haha haaaaaaa, huu mpambano mkali, wajua kingereza na wasiojua kingereza, yangu macho tuu...

    hebu nsaidieni na hapa 'united of america' or 'united of marekani'

    kizungu hiki, kingekuwa maji tunywe basi ili kila mtu ajue, manake tz kama huwezi hata kusema gudumoningi unaonekana bongo lala, wakati wazungu wenyewe kingereza wanakiharibu au sijui niseme wanaongea cha mitaani sielewi, kwani maneno yanayoishia na ing, mfano, 'working' ukitamka neno hili kwa wale wanaojifanya wanajua g haisikiki, but wao siku hizi wanatamka ingi inasikika yaani workingi, ila ni vijana vijana sio watu na akili zao timamu au watu wazima,

    thus, lugha sio issue kubwa hapa, kwani hata tukijadili 48hrs ujumbe umefika kwa wahusika, kwani pamoja na kubofoa bado ujumbe unaeleweka kwamba, 'hawahitaji zaidi, ila hao mabosi wamezidisha'

    hope utawala utaingilia kati na hao wapendwa wata soviwa shida yao,

    ReplyDelete
  34. Du Raha sana. Waganga na waganguzi wakijishugulisha na Lugha.

    Maoni mazuri mengi, ila jamani mnaoandika kwa kirefu naomba mtusaidie kwa kutenganisha paragraph kwani tunashindwa kusoma yoote, maneno mengi mno macho yanapotea kwenye mistari. haha haha.

    We are "NOT NEED MUCH" au

    we are not "NEED MUCH" au

    we "ARE NOT NEED MUCH" au

    WE ARE NOT NEED MUCH
    but
    SHOPRITE "IS TOO MUCH"


    haya kazi kwenu wasomi, sanaa ya lugha hapo. jamaa wamewapa mistari ya nguvu.

    ReplyDelete
  35. Anonymous wa 18 kutoka juu au (Wed, Feb.28, 2:00pm. Nashukuru sana kwa maelezo yako mazuri ingawa kwa watu wengine itakuwa ngumu kukuelewa. Pamoja na kwamba ulichokiandika ni sahihi kwa kiasi fulani, unachosema kingeweza kuwa sahihi kama hao wafanyakazi wangeandika WE ARE NOT NEED 'TOO MUCH' BUT SHOPRITE IS 'TOO MUCH'. Na hata kama wangeweka hizo apostophes hapo juu, basi ilibidi mbele ya hayo maneno yenye apostrophes waweke nouns, mfano We are not 'need much' staff/people/employees kwani ndio ingeleta maana. Na kutokana na kiwango cha elimu ya hawa jamaa, sidhani hata kama walikuwa wakifikiria hivi ilivyoona wewe. Kiingereza hiki ambacho tunakiongelea hutumika sana kwenye Novels nyingi lakini sio za akina Ngugi Wa Thiong'o au Chinua Achebe. Kwani wao hutumia kiingereza sanifu zaidi kuliko hiki. Pia waandishi wa magazetpia especially tabloids pia hupenda sana kutumia staili hii. Lakini huwezi kukuta kwenye The Times, FT.

    ReplyDelete
  36. Na wewe anyn wa Thursday, March 01, 2007 4:43:00 AM ndio unazidi kuwachanganya watu. Nafikiri inatakiwa ujumbe uwe hivi: We are not ''Need too much'' but Shoprite is too much na sio kama ulivyo andika wewe.

    ReplyDelete
  37. hii ni mara ta tatu unanichuja katika maoni ya blog yako. Kama hupendi maoni ya watu wengine, bora useme tu ili tusije tena katika blog yako. Usiwe kama mwajiri wako, CCM. Hata yeye anakubali maoni asiyoyapenda, japokuwa imechukua miaka 30. Sisi pia muda wetu ni mdogo, kama hutaki kuchapisha basi tuambie ili tusipotezane muda wetu.

    ReplyDelete
  38. Wafanyakazi wa shoprite wanalipwa laki moja, wanataka laki mbili. Je, kuna kampuni ngapi za wazawa wanawalipa wazawa wenzao laki moja kwa mwezi? Lakini kwa kuwa shoprite ni kampuni ya nje, ndio maana wanawabana. Ukiangalia hio elimu yao, kiwango cha mshahara ni sawa, ukulinganisha Watanzania wengi hawalipwi hivyo katika makazi kama hayo. Watanzania ni vichwa vigumu sana, ndio maana umasikini utatuganda milele.

    ReplyDelete
  39. Hicho Kingreza hapo kwenye bango ni sahihi kabisa, hao jamaa walikuwa wakiimanisha kwamba wao sio "wapenda makuu" ambayo ni noun ila licha ya kutopenda makuu kwao hao wenye shoprite wamezidi mpaka wamefikia kuwalipa Tsh. 7,000/- kwa wiki!!!! hiyo kwa jinsi maisha yalivyo magumu bongo kwa sasa utacoup vipi japo kwa matumizi ya kiwango cha chini?!

    ReplyDelete
  40. Mimi hapa mtu mmoja tu ndo kanichengua na kuniacha hoi...Wewe uko juu sana...what do you mean? Aliyejuu ni Muumba wa mbingu na nchi tu ndugu yangu.

    Hapa kwenye blog uwe na elimu yako ya ngumbaro au uwe na elimu yako ya Oxford...wote tupo sawa tu. Mimi sioni hata ulichoeleza saaaaaana ambacho kitafanya watu wasikuelewe.

    Watu wengine bwana....sifa tu hata mkiwa hamjulikani (anonymous).

    Kwa point yako ingawaje sikufahamu lakini inaonyesha what kind of a dark person you really are....I am sorry to say this but you need to grow up
    Remember "YOU CAN READ TO GAIN KNOWLEDGE, BUT YOU HAVE TO SEEK TO GAIN WISDOM"

    Wafanya kazi wa shoprite poleni sana na nivizuri mlivyoungana kutetea haki zenu.....

    ReplyDelete
  41. We muungwana Anon wa March 1, 1:42:00pm, nimeamua kuandika hapa kutanabaisha hisia zangu. Kwa kweli wewe either ni kaburu au wewe ndo akina Mangungo mnaouza wenzenu (wewe ni meneja au supervisor hapo shoprite). Yaani unadiriki kusema kwamba laki moja ndo halali yao? unajua uhusiano wa elimu na mshahara? au kazi na mshahara? eti kwa vile elimu yao ni ndogo? eti kwa sababu watz wengine wanapata hizo laki moja na wanaridhika? Nadhani wewe unakuwa mnafiki! yaani unataka watu waridhike na laki moja, kisa watz wenzao wanapata hizo? yaani mpaka nimeishiwa maneno...sina cha kuandika!!!

    maana sina imani kama wewe kweli ni mtanzania unayejua laki moja ni kiasi gani! au wewe utakuwa unakaa oysterbay ambako kila kitu kinalipiwa na kodi za walalahoi!! unajua kwamba hawa watu wanafamilia, wanategemewa na mambo lukuki? unataka wasiongezewe mshahara kusudi wewe na kundi lako mliobahatika muendelee kuwanyanyasa, wawe mahousegirl/boy??

    wakikuomba fegi au bia ndo utafurahi? wewe mpaka kuwa na access ya blog ya Issa naamini ni middle au higher class! Laki moja unaitumia vipi? Iam sure ukienda Rose Garden (kama uko bongo) au kwingineko..unaiacha huko!! Common, lets be serious!! Mshahara wa laki moja ni mdogo mno! hata mtoto wa sekondari siku hizi ukimpa laki hakuelewi!! Jamani...we unafikiria kaburu anapata faida kiasi gani? umaskini kitu kibaya sana!! Kibaya zaidi ni umaskini wa kufikiri!! HAWA JAMAA WANAWEZA KUWA NA "ELIMU NDOGO" Ila waulize wanareport kazini saa ngapi na wanatoka saa ngapi! Utajua kwa nini wanaandamana..

    Thats like unakuta mtu na elimu yake na usomi wake anamlipa houseboy/girl elfu kumi kwa mwezi kisa eti anakaa kwangu namlisha!! bila kujua na yeye anatafuta kama wewe unavyotafuta hapo mjini!! Na huyu huyu House helper ndo wa kwanza kuamka na wa mwisho kulala!! Jamani tubadilike na tuthamini kazi na tujue kazi yoyote hata kama ni kufagia ni MUHIMU!! Hapa ughaibuni watu wanabeba mabox daily taget au walmart na ndo wanalisha na kutunza familia zao huko nyumbani Afrika na kwingineko!! TUTHAMINI KAZI. Kwa sababu watu hawalipwi vema, sio sababu ya kumaintain status quo ya unyonyaji!! Tafadhali!

    ReplyDelete
  42. Siku hizi ni soko huria (free labour market).Ukiona bei yako unayotaka kujiuza kwa mwajiri ni ndogo unaondoka unaenda kujiuza sehemu ingine kwa mwajiri mwingine uliko na soko.

    Hawa wafanyakazi wa shoprite nina uhakika hawana soko sehemu ingine.Wangekuwa nalo wangeenda jiuza mbele kwa mbele kimya kimya.Mbona naona kuna wasichana na wavulana wazuri tu ambao wangeenda kujiuza mbele wangepata soko la kazi kabisa kama elimu wanayo ya kutosha.

    KUTOKA KWA KABURU ORIGINAL

    ReplyDelete
  43. Blah blah blah..!Wazalendo hapo pichani wanadai haki zao!That's it!
    Kaburu wao atakuwa ameelewa ujumbe wa wafanyakazi hao kwa kiasi fulani(kama sio kuwa ameelewa vyema)maana yeye ndiye aliyekuja Bongo inampasa aelewe kiswahili japo kidogo.Ni kama kusema 'ukienda kwa mwenye chongo....'

    ReplyDelete
  44. We Don't Need Much, But Shoprite Needs Much

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...