nampongeza klynn kwa kazi nzuri. dada huyu yuo juu sana kimuziki, na hivi sasa anazuru mkoa wa tanga. hapo chini kuna mdau wa bongo kanitumia sasa hivi...

Wapenda ligi watatu walibishana kuwa nani amekubuhu kwa ubishi kati yao .
Wakaamua kila mmoja ahadithie ubishi wa haja aliomfanyia mkewe ili wapime nani kabobea zaidi kwenye hiyo fani.
Mbishi 1 akasema: Mi siku moja nilivyokuwa nje ya nchi nilimpigia mke wangu simu usiku kafungua simu hakusema haloo...kulaleki! na mimi nikakaa kimya sikuongea mpaka alfajiri wakati simu ilikuwa wazi.
Mbishi 2 akatia: Mbona hiyo cha mtoto, mi siku moja nimerudi home nikagonga mlango mke wangu akaufungua lakini hakusema karibu mume wangu...aliniangalia tu...nikaona analeta madharau! sikuingia ndani nikasimama hapo hapo mlangoni mpaka asubuhi...huyoo nikatimua zangu job.
Mbishi 3 akaunganisha: Hiyo nayo mbona cha mtoto tu, mi mke wangu tulipooana alikuwa anaona haya kunigusa...ananidengulia eti! na mimi sikumgusa na mpaka leo hatugusani.
Mbishi 1 na 2: Aaaaaaaah faza! acha usanii, nyie si mna watoto wawili lakini?
Mbishi 3: Na hao watoto sijamuuliza kawaokota wapi... kwani mi nataka mchezo!.
wadau, nani anaweza kubishana na hawa jamaa?

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 24 mpaka sasa

  1. Haya sanaaa!! Umewekewa na Padhia kabisa,na kisu umepewa usije ukauliza tuu Kibla ipo wapi mpka Ngombe akakata kamba hiyo.

    Mmm Mchuzi na hako kajoto na paja hilo sijue kama Mpini hujasimami mwanaa maana nakuja ww tangu ezi zako KINO!!

    Ila hongera sana mmependeza Kk michuzi na dada huyo nimemkubali katika masongo yake!!

    ReplyDelete
  2. Hawa wabishi mie siwawezi kabisa.
    lakini Dah! kusifia sio dhambi Klynn... Nitarudi mara ya pili

    ReplyDelete
  3. You are very creative bro!¨
    tutengeneze kitabu basi...

    ReplyDelete
  4. piga uwa, pamoja na ukimwi na matatizo mengineyo yote yanayotubkabili watanzania, mademu wetu ndio the best looking in Africa haki ya mungu. Hata kama masikini, mademu ni wazuri saaaanaaaa

    ReplyDelete
  5. michuzi michuzi,ukiulizwa na mkeo utajibu nini wewe?ulivyoshikilia mapaja ya binti wa watu!!!!! mhhhh kila mtu akija hapo photo point hubebwa hivyo??? mi nataka kujua ili nimkataze mama watoto wangu asijaribu kusogelea hapo

    ReplyDelete
  6. This comment has been removed by a blog administrator.

    ReplyDelete
  7. polepole mikono hiyo bwa. michuzi na mama wa watu.

    ReplyDelete
  8. ..duh huyo mtoto mzuri sana...asingekuwa anajulikana sana mjini na mambo yake mengi mengi ningefanya juu nimtoe bongo...nimtulize aoge na mimba mbili then ndio tunarudi bongo...lakini ukweli ni mzuri sana.

    ReplyDelete
  9. huyu msichana mzuri kuliko beyonce kaa kuna mtu anabisha aseme!!!!

    ReplyDelete
  10. Watu wanasema hajui ku dance lakini mimi naona mtoto inabidi atingishe kiuno zaidi, hajamwona Beyonce anavyo shake ktk nyimbo zake.

    Oyaaaaa Michuzi hebu tuwekee picha za Zay B za hivi karibuni.

    ReplyDelete
  11. michuzi kumbe striker! Sikuwezi mwana!

    ReplyDelete
  12. michuzi nawe mamsela saa ingine unakipaka picha zako duh ndio nini sasa hivi

    ReplyDelete
  13. Hehehe jamani wee michuzi una hatariiii sasa mambo gani ya kubebana hivyo!! ukimuangusha je?? halafu huyu nae kwa kupenda uroda anachekelea utadondoshwaa afu uanze kusema niniliii, lakini masoud wee si umeoa wewe hayo mapaja hayakutamanishi? au ndo mambo ya ju kwa ju?

    ReplyDelete
  14. mlipotoka hapo kilifuatia nini?

    ReplyDelete
  15. hilo shati unalipenda eeh? au nawe ndo mbowe, yako kibao?

    ReplyDelete
  16. Huy binti sina la kusem. Pamoja na watu kumzushia kuwa anapenda sana pesa,,, lakini yuko bomba hasa! Anapendeza, anavutia, Anatamanisha na legelege ya kike. Lakini mi-soup wewe hao wanawake. Mhh...........

    ReplyDelete
  17. Jamani mi nimeshamuona Beyonce live na Jackline live. Jacky ni mzuri lakini hamuingii Beyonce hata kidogo, wewe anon hapo juu umechemsha sana tu. Check ile miguu ya Beyonce halafu ana tako fulani hivi( kishuzi cha uchokozi), halafu tumbo lake liko very flat ana sexy Abs. Jackline ni mzuri na ana shepu nzuri tu lakini hajafikia level ya kufananishwa na Beyonce. Demu wa Bongo ambaye anaweza kufananishwa na Beyonce labda yule Aisha wa Twanga Pepeta.

    ReplyDelete
  18. Jamani mi nimeshamuona Beyonce live na Jackline live. Jacky ni mzuri lakini hamuingii Beyonce hata kidogo, wewe anon hapo juu umechemsha sana tu. Check ile miguu ya Beyonce halafu ana tako fulani hivi( kishuzi cha uchokozi), halafu tumbo lake liko very flat ana sexy Abs. Jackline ni mzuri na ana shepu nzuri tu lakini hajafikia level ya kufananishwa na Beyonce. Demu wa Bongo ambaye anaweza kufananishwa na Beyonce labda yule Aisha wa Twanga Pepeta.

    ReplyDelete
  19. Michuzi hebu tutafutie picha ya Aisha Madinda nzuriii,tumlinganishe na K-lyn. Lakini tukimwongelea Beyonce tunaenda mbali sana jamani,hata kama uzalendo umezidi sana.

    ReplyDelete
  20. Anonymous uliemwona beyonce live..Yu are very right. Huyu KLynn ni mzuri wa sura tu, figure yake namba 1 (moja) na mguu hana kisha hajui kuvaa, check viatu alivyovaa, very cheap. Ebana acheni utani, eti anafanana na Beyonce, ah wapi...Wimbo wake mzuri though anabana pua sana, huu aloimba na Squeezer.

    ReplyDelete
  21. Nakubaliana na anon hapo juu. J.Ntuyabaliwe hajafikia level ya kufananishwa na Beyonce hata chembe.Sikatai Jaquiline ni mzuri but not that much. Beyonce is a Diva. She got it all, the whole package. Nafikiri kitu kama December kwenye TV (BET)hapa marekani walikuwa wanaonyesha 20 hottest bodies na Beyonce alikuwa wa kwanza, kawapita kina J.lo, Halle Berry, Lisa Raye,yule demu wa apple bottoms na wengineo. Huyo anon hapo juu kachemsha vibaya sana tu. Jacky hajafikia level hiyo ni mzuri tu anavutia lakini not that much. Halafu Beyonce siyo mwembamba(skinny)wa namna hiyo kama mamodel, she is thick, guu analo, tako la nguvu. Anaelekeana shepu yake na Aisha Madinda wa Twangapepeta kama anon hapo juu anavyosema.

    ReplyDelete
  22. Vipi ukilinganisha na Bi WEMA SEPETU?

    ReplyDelete
  23. Nyie mbona hamuelewi, someni vizuri nilichokisema hapo juu. Sio kwamba K-Lyinn anafanana au ana shape kama Beyonce, mimi nilichosema uchezaji wake hauridhishi [soma vizuri, sio mnarukia tu]. Inabidi aongeze madoido kama vile ya Beyonce!

    ReplyDelete
  24. Mumeyaona macho ya michuzi?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...