Home
Unlabelled
kuku
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Tanzania tunakula sana chipsi kuku na mayai siku hizi.ni vyema tuanze kupunguza utamaduni huu.wakati nilipokuwa mdogo utamaduni huu haukuwepo na magonjwa ya mishipa ya damu kama stroke ilikuwa sio kawaida.hivi sasa stroke Tanzania ni ugonjwa wa kawaida mpaka watoto wadogo wanaujua!na kesi za vifo vya ghafla imekuwa ni jambo la kawaida sana.
ReplyDeleteMisoup,
ReplyDeleteHuyo mwenzako kwenye tebo mbona umemwondoa wakati unapiga picha. Ni sebule ndogo nini haukutaka, my wife wako ajue
Ha ha ha ha ha ha ha , umenitamanisha kuku kaka, kwa wazungu huku kuku wa kisasa sio kuku kabisa. Mikuku ya Bongo, kama wale wa Dodoma na Singida kwa wale wanapitia mitaa ya kati we acha tu.
Big Up Mkuu
Simba kasingiziwa!
ReplyDeleteMichuzi inaonekana ulikuwa na my wife wako huko valentine, lakini cha ajabu hutaki aonekane kwa blog! Vipi kaka, unaogopa wadau wataua au! Muweke tumuone tujue nani anakutunza....
ReplyDelete