
wema kipata lanchi na mwandaaji wa miss tz hashim lundenga (shoto) na jamaa mmoja ambaye jina sikuweza kulipata mara moja. wote wameshangazwa na tuhuma kibao zilizomwandama dada wa watu huyu hivi karibuni, na wamezikanusha zote na kusema hiyo ni mtimanyongo ya waswahili wasiopenda mazuri na wamenihakikishia kwamba hayo yote kwao ni kama maji ya moto ambayo hayawezi kuchoma nyumba...
Huyo jamaa mwingine anaitwa William Kalaghe yeye ni Meneja masoko kama sijakosea kama si mkurugenzi wa NBC Bank. Ni Man U fan wa kutupwa. Good man
ReplyDeleteSasa huyo Mh. Lundenga nae anachukua chati kwa kuwalamba hao ma-miss sijui hilo nalo.... anatakiwa mtu mwenye busara na asiwe na tamaa maana kila siku anazaliwa miss sasa atalamba wangapi?
ReplyDeletelundenga hiko kilikua kikao cha kumuuza huyo binti kwa huyo kaka
ReplyDeleteJamani kwani yamempata nini huyu dada? Michuzi ebu nieleze!
ReplyDeleteUnajua sisi wabono tuna mambo sasa mbona iki kikao hatuwaoni wakina Lisa,Jocate na wengineo?au ndio chakusemwa kuhusu tabia ya uyo dada maana amenifanya mimi nikataliwe na mamy kuingia katika umiss UMETUHARIBIA WEMA UNATABIA MBAYA SANA WW DADA KWANI UKIFANYA MAMBO YAKO CHINI CHINI KUNA NINI MPAKA UYAANIKE HADHARANI?ONA WAKINA NANCY,JACQ,NA WENGINEO UNATAKA KUNIAMBIA HAWANA BF AU NDIO WW UMEPATA BAADA YA KUWA MISS NAWEZA KUKUITA LIMBUKENI WA WANAUME.JIREKEBISHE UNAHARIBU HESHIMA YAKO.NINA MENGI ILA KWA SASA NI HAYO TU.
ReplyDeleteMichuzi huyu Ni william Kallaghe wa NBC Ltd,sio kweli kwamba kikao hiki ni cha kumuuzia huyo binti hizo sio zake huyo.
ReplyDeleteMichuzi nasikia miss tanzania no 2 wa mwaka fulani JENNIFER JOHN anaolewa mwezi ujao na SEND OFF IKO NJIA moja KWA MUME WA MTU fanyia utafiti utupe habari na LUNDENGA akusaidie.
hapa ni wapi? mbona glass nyingi sana mezani, wakati kuna watu watatu tu? au ni mimi na ushamba wangu ndo maana nashindwa kuelewa kuwa kuna glass za aina hii za maji, juice, togwa, chang'aa, etc? hebu michuzi nielewehse maana hii pic umepiga wewe.
ReplyDeleteyaani glass 13 kwa hesabu ya harakaharaka, kaka hii ni wapi hapa? mbona imenichanganya kidogo. ushamba nao kazi jamani.
ReplyDeleteHAPO GESTI NYIE HAMPAJUI?
ReplyDeleteHizi glass too much. Wanashangaza. TUnajua Wine ukinywa lazima uletewe glass mpya kila kipimo. Lakini glass kujaa mezani hivi, haiiingii bongoni kwanini!?
ReplyDelete