bi chau na dk cheni wakila stori katika 'victim of love'

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. yani hata sijui nisemeje issa michuzi nakupa pongeki ya hali ya juu kwa kutuwekea picha za matukio tafauti fatauti yani zinanikosha roho yangu kweli wewe profesional hongera sana yani niko huku ungaibuni sikosi kuingi katika blog yako kila siku maana napakumbuka sana nyumbani shukran sana bro kwa mavituz kama haya say hi to bi chau je simu yake naweza pata niuliziya basi bro sawa

    ReplyDelete
  2. michuzi hongera sana kwa kazi njema nipo ughaibuni je nawezaa kupata simu ya bi chau tafadhali niombe sana

    ReplyDelete
  3. Tatizo la Cheni anapenda awekwe sehemu bab Kubwa tuu mtu huyu bwana kama muigizaji kweli ukaege na kuvaa masulupwete tukuone upande wa pili wa maigizo yako!! Anyway tunajitahidi siku hizi!!

    ReplyDelete
  4. michuzi kwakweli kazi ufanyayo nakupa tano(hi5)mwanangu lakin kinacho sikitisha kwamba ile contact uliyoweka wa bongofilms@gmail.com hawajamaa hawajibu mbona sasa kweli wanataka watu wa ughaibuni wanunue hizi movie zao au vipi? maana huku ndo kuna soko kubwa na watu tunapoona mambo ya nyumbani huwa mnatufariji na tunazitaka hizi kanda zao kuzinunua sasa iweje ukiwaandikia hawajibu yani wananishangaza kupita kiasi halafu tunasema wasomi wako majuu, basi wajifunze management business wambiye

    ReplyDelete
  5. michuzi na ndugu zako wakipemba msituyayushe hapa hakuna movie zozote mnazotengeneza nyinyi maana contact zenu wasi wasi mambo yenu varu varu kama mchichi wa kariakoo na kisimajongoo.mkiandikiwa mail katika ile bongofilms@gmail.com hamjibu. jamani wana blog hasa hasa wa ughaibuni msizitafute movie zao hawana contact wanatengenezea kichochoroni halafu wanataka wakuibiyeni pesa zenu.kama hamuamini basi watafuteni mkalizweee na wapemba hawa.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...