limo aina ya volvo lililomchukua jk toka eapoti ya sitokihomu baada ya kuwasili usiwdi akitokea ukerewe tayari kwa ziara yake ya nchi za unordiki. iddi janguo upo??

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 9 mpaka sasa

  1. kula nchi baba kikwete ukiachia ngazi hakikisha na wewe unalo kama hili sawa bwana wakati wako tanua si dhani kama mwalimu alilipanda hili maishani mwake

    ReplyDelete
  2. Mwalimu alipanda Rolls Royce ndugu acha mtimanyongo sasa ulitaka apande subway?

    ReplyDelete
  3. Michuzi,
    Nina swali dogo.Je hili gari ni ambaloanatumia balozi wetu kule SWEDEN, au walikodisha kwa ajili ya JK?Please tufahamishe.

    ReplyDelete
  4. wewe anonymous uliye weka comment zako on 2:16:00 am mimi bob sina kitimanyongo wala nyongo yenyewe na tupe wapi? mwalimu alipanda Rolls Royce sawa, na unaona akipand hiyo subway heshima yake itashuka siiyo? ndo maana hatuendelei nchini mwetu aah mwacha lakin ale nchi wakati wake, ari mpya kasi mpya big up baba kikwete

    ReplyDelete
  5. Hili ni gari la Balozi

    ReplyDelete
  6. he is a President wewe kenge wa kwanza na sijui ulitaka apande nini sijui scooter? na nyie hilo gari ni serikali ya sweden sio ubalozi...kumbukeni President akifika nchi ya watu kila kitu kuanzia ulinzi ni juu ya hiyo nchi lakini sio marekani ambao wanapakia mpaka magari yao kwenye air force one

    ReplyDelete
  7. wewe uliyeweke comment yako on 21 february at 3;44 pm mjinga sana wewe na kenge mwenyewe umeona ikipanda hiyo scooter ya babu yako hadhi yake itashuka, rais mungu aliyekuomba kenge mkubwa wewe usiye na mkia.
    Big up baba kikwete ukiachia ngazi lazima utafute kama hili au zaidi yake sawa.

    ReplyDelete
  8. Wewe Saa Wednesday, February 21, 2007 3:44:00 PM, Mtoa Maoni: Anonymous Uliza uambie sio unatoa tu komenti bila ushahidi. Gari ya balozi hiyo tunapiga nayo misele daily. Muulize Mshikaji Ben Moses.

    ReplyDelete
  9. Aaah kumbe balozi Ben Moses yuko Sweden,kabla ya kuhamishiwa huko alikuwa Canada.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...