machweo ya jua ufukwe wa kaskazini ya zenj uitwao kendwa

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. sasa mbona picha hii hujaitoa na rangi?
    wewe unajua jinsi gani sie wengine tulivyo wabovu wabovu

    ReplyDelete
  2. kaka, nafurahia sana hizi picha. hii nikiichambua juujuu, ni kwamba katika silhouette hizi naona hawa akina dada, kwanza si wa kikwetu, halafu watakuwa middle aged women, hasa hasa huyu wa nyuma. pia na wewe kaka michuzi mpiga picha, ulikaa katika level ya juu kidogo kuliko wao, kwani horizon iko juu yao, na varnishing point pia iko juu yao.
    haha samahani nilikuwa napenda kuandika lolote kuhusiana na picha hii, kwani ni nzuri ila haina comments so far.

    ReplyDelete
  3. Thats a very nice view. Very Romantic. Thnax

    ReplyDelete
  4. kaka mi nimeona chuchu tu hapo, sijaona kitu ingine!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...