baba yetu makamba (kulia) uso kwa uso na mrithi wake wa kiti cha gavana wa dar abbas kandoro...

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. Mghoooshiii huyooooo!

    ReplyDelete
  2. Nani zaidi?
    Makamba au Kandoro?

    Mimi namkubali sana Abbas Kandoro, Mgosi Makamba Sound na projo zilikuwa nyingi sana kupita maelezo.

    Kandoro Mtendaji, Maneno machache matendo marefu.

    BIG Up Kandoro, kuna werevu nyuma yako tunaotambua na kuthamini mchango wako ktk kuunyosha huu mji wetu.

    ReplyDelete
  3. This comment has been removed by a blog administrator.

    ReplyDelete
  4. Naona hapo mgosi anamwambia kandoro hongera kwa kuondoa wamachinga,ila machangu na ombaomba wamekushinda

    ReplyDelete
  5. Mhe.Kandoro namkubali sana,ni kati ya viongozi wa JK wachache wenye kuiletea maendeleo nchi hii,Big up mheshimiwa

    ReplyDelete
  6. Who is Kandoro??????????????? and Mkamba???????????????????????? hawawatu feki sana na sijuhi nani anawachagua watu kama hawa....huyu mmoja ndoo mchemshaji kuliko kawafukuza wamachinga sasa wamachinga wameamua kuwarudi mgambo mambo hayo. hiyo yote ni kuwapa madaraka watu ambao hawako fit na post kama hizo kisa eti watu wa Pwani mtakalia hayo hayo nchi inazidi kutokomea na wahindi wanazidi kutajirika tu......

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...