
hapo zamani zisizo za kale sana kulikuwepo na mashindano ya bendi bora (mashibbota) na mara ya mwisho kufanyika ilikuwa ni mwaka 2001 ambapo bendi nyingi zilishiriki na mshindi akaibuka sikinde ngoma ya ukae. mashibbota yalitoa hamasa kwa bendi kuwa bunifu na kujali maendeleo ya fani. pichani ni twanga pepeta ambao walifanya vizuri ingawa hawakubeba nafasi ya kwanza
Kwani Shalamar yuko wapi siku hizi Mr. Michuzi?Mara ya mwisho kumwona alikuwa anakwenda kazini Mawenzi Hotel pale, na bro ulikwa hukosekana mitaa ya YMCA na ofisi za D.Mawalla.
ReplyDelete