nafurahi kumtangaza anonymous wa friday, february 22, 2007 5:31:00PM kuwa ndiye mshindi wa shindano letu Na. 4 lililohusu kuwatambua warembo hao juu na tukio lenyewe kama utavyoona katika http://issamichuzi.blogspot.com/2007/01/shindano-na-4.html.


wadau wengi walipatia ila huyu mdau aliwekam bayana kuwa hayo yalikuwa

ni miss pilsner ice miss tz, kwani ni kweli kila mdhamini anatanguliza jina la biashara yake kwanza kama ambavyo ilivyo sasa vodacom miss tz....

hongera mdau kwa ushindi naomba ujitambulishe na uthibitishe kuwa ni wewe kupitia issamichuzi@gmail.com ili nikupe zawadi ya picha yoyote utakayo

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Michuzi Friday 22 February 2007 bado haijafika, huyu mtu unampa ushindi kabla au.

    Au ulikuwa unamaanisha Friday 2, 2007?

    Ni hayo tu kaka

    Asante kwa kazi nzuri, hasa ya kumleta kimouse ndani ya nyumba ya blog hii

    ReplyDelete
  2. Michuzi ni mimi nimeshinda sasa sijui nitafanyaje kuhusu kuchagua picha.reen_minja@yahoo.com.tuwasiliane

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...