Home
Unlabelled
mbiki
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
michuzi na wewe unawania kuandaa mashindano ya urembo ngazi ya vitongoji kama PAPARAZI mwenzio Benny Kisaka?
ReplyDeletemanake siku hizi bongo DJ ndio meneja wa msanii, PAPARAZI/MWANDISHI wa habari ndio muandaaji wa mashindano ya urembo vitongojini.
Nahisi michuzi kuna kitongoji anakiwania awe mwandaaji alambe mkwanja wa getini.. kaazi kweli kweli...
Michuzi picha za TID na Wema tuwekee au mzee huna hizo picha. Angalau kidogo tu tuone vichwa vyao kama ni kweli au la!
ReplyDeleteThis comment has been removed by a blog administrator.
ReplyDeleteMichuzi sasa hiki ni kichwa, sio wanakwenda kuchagua demu kwa sababu ya rangi ngozi au baba mkubwa wa shirika fulani.
ReplyDeleteHalafu kitu kingine ni kwamba mbona hawa mademu wote wanaoshinda wanatoka Kinondoni (au Dar) au huyu Lundenga anapata commission yake huko. Inamaanisha mikoani hakuna mademu wazuri!
Hata kama mademu wa mikoani hawapigi mswaki, mwambie awe anawapitisha huwezi jua, wanaweza wakashinda Miss World!
Kina Mbiki watani wangu, ila hapa utani ungeniishia. Michuzi, mwaka 2002 hukuwa na Canon EOS 5D yako ambayo ndo inaonekana kuchukua hii picha. Kwa hiyo ungeongeza kwenye legend yako 'picha hii imekuwa digitized kutoka kwa picha ya kusafisha'. Maana huyu binti ni mrembo kuliko anavyoonekana hapo. Naomba kama ulivyofanya kwa Basila Ngwanukuji 'Mwanukuzi' uniblogie anavyoonekana sasa Mbiki. hapa lighting sio uniform. But, natanguliza shukrani kunipa close-up ya mtani wangu.
ReplyDeleteKweli kabisa hali ilikuwa ngumu kwa Angella Damasi kilichomsaidia ni weupe wake tu lakini Mbiki kifaa si mchezo, yaani she is really cute, na alistahili kuwa Beauty queen mwaka 2002.
ReplyDeleteNafikiri uweusi wake ulimponza,yupo wapi huyo binti hasikiki tena siku hizi
ReplyDeletenasikia ni mwanasheria siku hizi
ReplyDeleteMbiki Msumi yuko wapi siku hizi? Maana tukaambiwa anasoma Mzumbe, mara kaolewa na mmasai kule Mererani, mara tukaambiwa anasoma tena Tumaini University kule Iringa! Which is which? Michuzi hebu tupe habari....Wapi Mbiki Msumi??? I hope, being a former Miss Tanzanaia no.2, she can still do a lot more to the society such as organising fund raising events for the needy! My company would be keen to give her a hand for that....She was very influencial I should say!
ReplyDeleteKitu kimetulia kabisa, ughaibuni tunatafuta wake wa kuona hatuoni.Michuzi itabidi uwe mshenga!.
ReplyDeleteDah!! huyu mie namjua sasa hivi ana watoto wa wili kaazi kweli kweli!!
ReplyDeletedemu wa kawaida tu halipi kiivyo
ReplyDeletesio mbaya kunywa nae bia na kukaa kiti cha mbele kwenye chaser yangu anaweza kupendezesha gari ila si kwa umiss! au sio waungwana hakuna kuponda
ReplyDeleteJoto noma, kulikuwa hamna kiyoyozi. naona PODA kwa kwenye paji Imedunda
ReplyDeleteHuyu demu kafanana na demu mmoja alikuwa anatangaza ITV.Rangi na hata shepu.Demu ana miguu mizuri hakuna.
ReplyDeleteanony hapo juu, labda unamfananisha na REHEMA MWAKANGALE wa ITV, maana nami naona kafanana naye. Japo sijui Mwakangale yupo ITV bado au la. Maana nipo nje ya tz muda sasa. Kweli kapendeza, ila sio kuwa miss. Mbona wapo wanaotisha kibao TZ huwa hawashiriki. Sema miss ni mshindi wa walioshiriki tu.
ReplyDeleteI think she is natural beauty wabongo mmezoea mikorogo! Black is beautiful white is COMMON
ReplyDeletewallahi mtoto mzuri sana huyu nashangaa walimpa mtu mweupe,ushamba wa waandaaji
ReplyDeleteWatoto wa Kitanzania kwa kweli huwa ni wazuri sana, na huyu si tofauti! Sehemu pekee Duniani ambako unaweza kukuta wanawake ni wazuri kwa wingi zaidi ta TZ ni Thailand. Lakini bongo (TZ) kuna ma-binti wazuri si mchezo. Ebu jaribu simama Samora/Maktaba roud about kwa dakika 10 angalia wanawake tu wapitao, utapagawa! Mbiki ametulia, kama ilivyo kwa Amina Chifupa, K-Linn, Nancy Sumari,,,, kwa kuwataja wachache. Ingekuwa ndo kipimo cha maendeleo ya nchi, haki ya nani, Marekani na Dunia ingetukoma!
ReplyDeleteWanawake wako bongo bwana! Ukizoea Bongo, baadaye ukapita mitaa ya Nairobi, Kinshasa, Lusaka na baadhi ya miji ya hapa Africa, unashindwa kuelewa hao wanawake wa huko ni wa UKOO gani! Bongo tumejaariwa kwa wanawake na ma-binti wa nguvu sana, hakuna ubishi!
ReplyDeleteSioni ajabu kwanini watu wanahonga hela nyingi kwa wanawake. Huyu mtoto mtu yoyote anaweza fanya lolote. Hata kuacha watoto wateseke na njaa ili mradi tu afaulu kugusa kifua na kupiga busu kwenye hayo mashavu. Si mng'ao pekee wa sura ila na mpangilio wa pua, masikio, mdogo na kidevu. hatuhaona meno tu, lakini kwa hapo lazima ndembele tu.
ReplyDeletetatizo mitoto ya bongo virusi vingi hasa hawa mastaa tamaa tupu staili yao huko bongo nasikia kuvizia vizee tu
ReplyDeleteKwa kweli huyu dada ni mzuri, na mimi nakubaliana nanyi wote kwa kweli. Na kibaya katika mashindano mmoja ndio atakuwa mshindi. Natumaini kigezo cha kumuita Angela kashinda kwa sababu ya weupe au ni mzungu havikusemwa kwa kumaanisha maana iliyotokea. Huyu binti ni Mtanzania aliyechanganya, je hana haki ya kuwa Mtanzania? Anafanya mengi katika jamii, na huo ni utanzania halisi. Ubaguzi wa rangi sio sifa yetu watanzania jamani, Tuangalie maneno yetu yasikwaze wengine. Amani kwenu wote.
ReplyDelete