
john terry wa chalsii alipokula buti la uso watangazaji wote walisimama kama anavyoonekana hapa hassan mhelela wa bbc na watangazaji wenzie wa kimataifa juzi asenoo ilipobugia 2-1 toka kwa morino kupitia mtaa uitwao drogba eneo la kadiff. huyu bwana na mwenzie chaaaz ni wana-imarati damu lakini nawafagilia kwa jinsi walivyoweza kuweka unazi pembeni na kula mzigo kama kwamba hawajadoda hadi mwisho. hongereni sana chaaaaaz na hassan - ila poleni mweeee. mtamtumaje mtoto dukani na hela kubwaaaa?
Hii ni nyundo mazee. Proud of you boy, keep it up!
ReplyDelete