
peter benet wa sauti za busara amemnasa huyu anayemuita 'michuzi in the making' leo katika mashindano ya mbio za ngalawa zilizonza na kuishia serena inn ya zenj
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Poa sana. Huyu dogo ameanza mapema atafika mbali sana. Jitahidi bwana mdogo, siku moja utam-replace Michuzi! Michuzi usikonde ukaanza kumtilia ngumu huyo dogo bure...Mpe tafu ingawa roho inakudunda.
ReplyDeleteDUUU. MICHUZI HUYU MTOTO WAKO NINI, ANAFATA NYAYO LAIKI FAZA LAIKI SON.
ReplyDeletePOA SANA, VIPAJI VYAANZA UDOGONI.