khanga ina mifungo aina kwa aina na nyakanga bi. kidude ni bingwa kwa hilo

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. michuzi kakake
    nakufagilia wawaaaaaaaaaaaaaa
    naifagilia kazi yako hata sijui nisemeje

    leo wanikumbuka bi kidude
    pia wanikumbusha kanga yangu
    ya zamani hizo, iliandikwa
    WENYE VISHINDO HAWANA VITENDO
    dah niliifagilia sana.

    kazi njema kakangu.
    MUNGU AKUZIDISHIE MOYO, NA AKUEPUSHE NA HASIRA NA WOTE WENYE MAZUMNI YA KUKUVUNJA MOYO, WAKOSE NGUVU.

    ReplyDelete
  2. lol nilitaka kusema
    wanikumbusha bi kidude
    nikasema wanikumbuka
    najikosoa hapo juu

    michuzi nakufagilia wawaaa

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...