huyu ndiye mama mingoi, shabiki namba wani wa twanga pepeta, ingawa siku hizi kapunguza. lakini enzi zake alikuwa burudani tosha twanga ikipiga na choki akichombeza 'mingoiiiii mingoii mingooiii ngoi ngoiii yeeee' kwenye sebene

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. huyu ndio Mama Mngoi kutoka nyiriti camp, sasa hivi kaolewa ndio maana katulia, kuna jamaa kafika bei kaweka mzigo ndani

    ReplyDelete
  2. jamani sio siri dada huyu yuwapi ...kahama camp au?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...