nawaletea modo anayechipukia kwa kasi sana hapa bongo, flaviana. akiwa na umri wa miaka 18 tu tayari amejipatia sifa kwa kipaji chake ambacho kikiendelezwa atafika mbali kwani ana kila sifa ya kupamba majukwaa ya kimataifa. wadau wenye upenyo kwa watu kama hawa popote mlipo kazi kwenu

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. Ila gauni kubwa halijamtosha, angalia kifuani. Hilo gauno linataka mtu na maziwa yake! Halijampendeza kifua chake kikavu kama cha Nyoka!

    ReplyDelete
  2. Skin model, sio skin model tu. Lazima awe na nyama za kiasi fulani, sehemu fulani fulani kwa ajili ya fitting ya dressing.
    Sasa huyu ni mkavu, beside, big market doesn't have intress ya "vimodo panya" au "vimodo monkeys" anymore wanavyo vingi wanawashindwa wavipeleke wapi.
    Pelekeni shule huyo mdogo wetu jamani.

    ReplyDelete
  3. This comment has been removed by a blog administrator.

    ReplyDelete
  4. Naomba adress yake au simu.

    ReplyDelete
  5. Mi nadhani apelekwe shule huyu mtoto! Msimdanganye kwa U-MODEL. Maana ma-model wengi wa kibongo wanaishia kushikwa-shikwa na kuachika hovyo hovyo. Hatujua yule binti Mrembo Miriam Odemba kaishia wapi!!?? Labda yule ya Germany, lakini kaenda shule.

    ReplyDelete
  6. Hata Tyra Bank ni mwembamba lakini ziwa analo!

    ReplyDelete
  7. Siku hizi Tyra Bank amenona kama kondoo wa Ngoima!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...