mtaa wa msimbazi ulivyo leo

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. ISSA MICHUZI Umenifurahisha sana tena sana na sana na kupita kiasi kwa kuweka picha hii yani napakumbuka nyumbani kichizi hisia kibao zilinirudia nilipo uona mtaa huu tafadhali nenda mtaa wa lindi eneo la gerezani lindi juu na chini picha picha za mitaa hiyo tafadhali michuzi.. na shukran sana kwa kuweka picha hii, ubarikiwe daima michuzi. amen

    ReplyDelete
  2. Ha ha ha ha ha

    Kila mtu atasema kakumbuka nyumbani. Na mie nitasema nenda sinza kwa remi, mtaa.... ulete picha zake maana nakumbuka sana nyumbani, George atasema nenda chang'ombe mtaa wa ... na mwengine atasema neda Kisiju nk. Acha ushamba wewe. Yaani Michuzi aishie kuleta picha za mitaa yenu. Sisi hatuzitaki hizo. La mwandikie michuzi akapige huo mtaa unaoutaka wewe akutumie kwenye email yako.. Alaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaah

    ReplyDelete
  3. ukiona hivyo huyo mshkaji hapo juu kajilipua,ana miaka kumi hajarudi bongo,anataka kumtumia michuzi ili akibahatika kurudi kwao asiisahau nyumba yao.inasikitisha sana.

    ReplyDelete
  4. watoto wa kariakoo ndio zao kwa kujilipua,kama hivyo basi na mimi nitataka picha ya kule kijijini kwetu handeni.itakuaje?
    jitahidini mrudi makwenu japo mara moja kwa miaka miwili,babu zenu wanakufa mnashindwa kwenda kuzika.

    ReplyDelete
  5. wahusiki wote mlio toa maoni yenu nataka kukuambiaeni kwamba sijakaa huku ughaibuni miaka kumi na nyinyi ni wasemaji wa michuzi au hii blog ni yenu? muachiyeni michuzi atoe uamuzi yeye mwenyewe kimbele mbele cha nini.
    mnafikira finyu kwamba kila aliye wa kariakoo anajirusha poleni sana na fikra zenu hizo finyu.
    na kwa taarifa yenu wazee jamaa na ndugu wote wako fresh kila leo napata data zao na nawahudumia kwa kila nilichonacho alichonijalia mungu.
    na kwenda bongo kila baada ya miaka miwili bila malengo unafaidika na nini? kama si ujinga uliokujaa katika kicha chako chenye akili za sisimizi. ushamba, ujinga na upumbavu wa hali ya juu umekuja ndo maana unaona ukienda bongo kila miaka hiyo unatanua etc.mimi sina ujinga huo wakitoto toto.
    kama hamna cha kucomment si bora mkajiunge na shule hata ya ufundi ili mpate kuerevuka na kuelimika au pelekeni maendeleo kijijini kwenu na muache kutoa vijineno neno vya kihanisi hasini kama wasenge.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...