siku ya kihistoria bongo. maelezo kamili ya kilichojiri soma chini. waama, nina hamu sana kujua waliko hao waliopiga magoti hapo. kama kuna mdau ana fununu atupatie...

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Mnaojua kutuma comments vipi mbona kimya hapa? au pagumu...lakini mngewekewa underwear hapo mngesha sema ni ya nani kabla hamjaulizwa.

    ReplyDelete
  2. tumejibu lakini michuzi kazifuta

    maana mimi nilihoji uiweje kila kukicha tunaonyeshwa UDONGO lakini Mkataba wa MUUNGANO hakuna?

    sasa tufanyeje?

    ReplyDelete
  3. Samahani kwa kutojibu swali lako, ila najua huyo anayepiga makofi hapo kulia ni Mzee Rashid Kawawa (aka Simba wa Vita)

    ReplyDelete
  4. Na wa kushoto BIKIDUDE

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...