hayati suleiman mwanyilo (kulia) na mustafa pitchou wakiwa kazini relwe klabu gerezani na msondo ngoma.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Inaelekea tumepoteza watu wengi kweli kwenye muziki. Kila nikisoma ni marehemu au hayati. RIP

    ReplyDelete
  2. Mwanyiro amekufa lini???Ni ngoma kama walivyo wanamuziki wengi ambao wameaga dunia?Nimestuka kweli....sikujua kama amefariki.Tanzania jamani.....!

    ReplyDelete
  3. Ni kweli tumepoteza wanamuziki wengi sana. Na ni kweli kwamba mara kwa mara Kaka Michu amekuwa akituletea wengi akina RIP. Mungu awalaze pema peponi. Kaka Michu hebu basi tupatie moja ya jabari la Muziki (Marijan Rajaab)

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...