miss tz 2005 nancy sumary akiwa na dadaye nakaaya na mwana falsafa. mengi ya dada nakaaya bofya hapa

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 17 mpaka sasa

  1. michuzi naomba unisaidie baba, huyu nakaaya anataka tumuandikie nini hasa kwenye hiyo tovuti yake kwasababu hakuna cha kumshauri, tunamshukuru alituwakilisha kwenye project fame though kusema ukweli hakuna alichokifanya cha kushangaza, i think nakaaya is gud on banking rather than being a musician, kwakweli unapendezea ukiwa bank na umaarufu hautafutwi kiivyo dada au ndo njia ya kupata hela kupitia matangazo?? muulize michuzi atakuelekeza zaidi, me sijaona kama unahitaji ushauri wowote coz hakuna ulichokifanya, ni hayo tuu

    ReplyDelete
  2. Hawa watu wacheza sarakasi au ni madrugqueen? Make-up gani hiyo sasa watu wazima na akili zao?
    Gezageza bwana!

    ReplyDelete
  3. nakuungamkono mheshimiwa hapo juu

    kwanza huyu sista anatakiwa ambadilishe webs designer wake

    pili anatakiwa atafute professional photographers

    Tatu meno yanatakiwa yafanyiwe kazi kubwa sanaana tuu

    Nnne Aanatakiwa kuifanyia kazi profile yake

    Tano: Anatakiwa kuinvest pesa kwenye GYM kwani ana FAT FACE na kwa fani yake thats a NEGATIVE

    ReplyDelete
  4. at least you're being involved positively. Otherwise i don't see what to write about you. You sang at a respectable level and came up with what you deserved, and i respect that out of you. I would have much to say if the site had been about Nancy who won miss Africa and all that. But, anyway .. all the best baby..

    ReplyDelete
  5. Dah, nimeipenda summary yako anon hapo juu..Kweli her website sucks. Kweli hana looks za artist (fat face)..Work on that Nakaya

    By the way I didnt know who Nakaya was mpaka nilivyoingia hapa..Like sikuangalia Project Fame, nadhani niliona ilikuwa monotonous,boring,tedious..I watched Project Fame ile ya SA alioenda kale katoto ka Zanzibar...Uum..BODEA..Nadhani hii hapa haikuniexcite..

    Yeah she needs mtu wa kumshauri kuvaa na make up as well, kama mtu unataka umaarufu kihivyo basi ujue watu watakucheki outside looks zako, zile za inside watu hawaziangalii sana..Kweli hiyo makeup hapo juu umeonekana kama drug queen, wote na Nancy pia..Anon hapo juu hujakosea kabisa...

    Na pic gallery yako imejaa Nancy Nancy Nancy, kama vile ni yake..Kama anataka nae afungue yake..kwenye kila picha inabidi utokee na wewe, sio Nancy na watu wengine wengine...Sawa dada?

    ReplyDelete
  6. DUU NANCY HIZO NYWELE ZA BANDIA ZIMEKUPENDEZA, POA, LAKINI??? MAKE UP DADA USONI IMEZIDI UMEJAZA SANA, NAOMBA WENYE UJUZI WA MAKEUP ARTISTS NISAIDIENI KWENYE KUMPA MREMBO WETU, UFUNDI NA SOMO KATIKA FANI HII.
    VINGINEVYO MMEPENDEZA. KA-MAKEUP TU PUNGUZA KIDOGO.

    ReplyDelete
  7. Nampongeza sana huyu dada kwa juhudi zake, bila shaka mafanikio hayako mbali.

    Kuhusu umbile lake mi naona ni zuri na ana muonekano wa asilia kabisa!! (Hakuna haja kujiharibu umbo lako -natural- dada! Pia linakufaa kwa shughuli zako za kimziki na matangazo).

    Kwani ni nani aliweka STANDARD eti msichana yeyote lazima awe na uso mwembamba. Hakuna 'standard' yoyote, na hayo ni mawazo tegemezi ya watu kumkandia huyu dada.

    Kila la heri Nakaaya.

    ReplyDelete
  8. nancy mzuri but naakaaya ana sura ya ukatili yaani fierce face yaani typical mchaga wa machame ama mmeru,i know they are masai girl but nancy look masai the sister is not.

    ReplyDelete
  9. Kwa kifupi mmependeza kina dada wote ila huyo jamaa mliepiga nae kaharibu picha, mdomo kaweka kama yupo kwenye evolution stage ya HOMOHABILIS (half gollira)

    ReplyDelete
  10. At least she is promoting herself, ukiangalia bongo kuna wanamuziki wangapi wenye websites, wachache sana hata watano hawafiki wakati kuna wanamuziki zaidi ya mia tano au elfu [sijui idadi]. Angalia nchi zingine jinsi wanamuziki wao wanavyojipigia debe, wanamuziki wabongo wakishapata umaarufu bongo ndo imetoka hiyo ikirudi pancha.

    Kuhusu matangazo katika website, mimi naona sawa tu [sasa mnafikiri atapata wapi hela ya kulipia website [hamjui kila kitu fedha]. Labda huyo web designer angepunguza kidogo hayo matangazo.

    Sasa kuhusu umbo, uso na kadhalika hapo mmekwenda mbali, mtoto yuko fiti. Watu hawaangalii uso mnene au umbo kubwa bali je ana deliver?, nyimbo zimekubalika. Kuna wanamuziki wangapi duniani wanatesa wakiwa na umbo kubwa, uso mviringo au niwataje kuna Jill Scott, Queen Lathifa, Trina, etc.

    Lakini mimi nimependa jinsi alivyokata, it looks natural. Toto la ki-Masai keepin' the Afrikan Beauty, wat did u expect. Hizo poda za kibongo naona hazifanyi kazi vizuri [wanajaza mpaka wanatisha], I recommend to stay out of those makeups, mnatisha si utani. You look much better without makeup!

    Mimi nasubiria hizo nyimbo zake tu, kama ni kali basi nitampa props zake!

    Huyo Nancy kama anataka kujiendeleza kimataifa anahitaji website kwa sasa kuweka habari mbalimbali kama vile show alizoshiriki hapo bongo, mambo ya kijamii aliyofanya lakini kabla ya kushiriki kimataifa kwanza inabidi amalizie elimu yake kama yuko shule. Halafu aanze kujijenga kama Tausi Likokola kufanya labda modelling nje ya nchi hasa ma-designer wakubwa wa Africa na mambo mengine yenye kujenga jamii kama charity work, volunteering, etc.

    ReplyDelete
  11. Jamani mbona watu tunapenda kuona negatives tuu tena kwa wenzetu na sio katika sisi??? Give credibility where its due. Kila mtu ana mapungufu yake. kama unaona hajafanya la maana, basi mtakie heri uende zako!! tujifunze lugha ya kuappreciate juhudi za wenzetu. Umeyajua unayoyajua baada ya kujifunza, perhaps kwa wale walio huku ughaibuni ni baada ya kupata hiyo nafasi..hukuamka siku moja ukajua unayoyajua. Huyu dada mimi simfahamu zaidi ya kwamba ni raia mwenzangu. Tusitegemee kwamba kila mtu atakuwa na perspective ya kuona mambo in our prism..and knowing that..then we should encourage her. Everybody starts from somewhere. And she is starting, albeit all imperfections! Kila lakheri dada Nakaya na penye nia pana njia. commitment, hardwork and discpline..is the secret of success. Welcome positive critique and discard malicious and useless comments..... Mwananchi.

    ReplyDelete
  12. Zote hapo juu ni constructive criticism jama. Ndio itamjenga..Next time atajua akiweka thick make-ups atakuwa kama drug queen, yeye na Nancy, wote wawili..

    Pia, atengeneze hiyo website zaidi, imekaa too local, picha hazina ubora wa kiasi kiiile...Nakadhalika

    Kila mtu ana maoni yake, watu mnaoona kwamba tunatoa negative thoughts basi bwana, ila message imemfikia...

    ReplyDelete
  13. We Naakaya jaribu kutafuta mwalimi mzuri wa Kiswahili ahariri mistari unayoandika kabla hujaituma kwebye web yako. Kiswahili chako kichanga sana, kama chekechea. Hakivutii wasomaji wako.

    ReplyDelete
  14. There is nothing wrong with Nakaaya's face, what is wrong with people. One day you complain that Tanzanian girls are trying too hard to be Western and becoming too thin, the next thing you are saying that this girl who's of average build by the way, you are saying her face is fat!!
    She is pretty, thats enough, I would say all she needs is someone to advise on her style, coz bra showing like that is not a good look. Look at stars like J-lo, she was not typically slim, even Beyonce, but because of their talent and their good style choices, they made it "in" not to be thin!!

    ReplyDelete
  15. This comment has been removed by a blog administrator.

    ReplyDelete
  16. HAYA NAKAAYA NDIO UVAAJI GANI HUO?
    AU NDIO FASHENI MPYA YA KUVAA KITOPU NA SIDIRIA YAKO NYEUPE IONEKANE NUSU NA JUU KOTE? AH! WAJAMENI, SIDIRIA ZA WANAWAKE SI ZINATAKIWA KUWA NI NGUO ZA NDANI? NI SWALI LANGU TU MAANA SIDIRIA IKO NJE. (NYEUPE KAMA MNAVYOONA)

    ReplyDelete
  17. I think the girl has done good for herself, she has worked her way up from nothing and the sky is the limit for her; i say keep it up girl! Let all your haters be your motivators.
    Regarding the make up yeah its a little too much you are so pretty even without it but i realize as an artist you have to have all that make up art and have that extra ordinary look! All the best

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...