Home
Unlabelled
omba
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
misupu unapaswa umsaidie umpeleke shule hata ya kusomea kushona nguo(cherehani),ukishindwa hallo at ur boy,mi nitamsaidia kusoma.
ReplyDeletesasa we hapo juu si umsaidie wewe.
ReplyDeleteNini kumlazimisha Michuzi amsaidie wakati wewe upo? Msaidie na wewe upate rehema na baraka.
ndiyo maana nimesema hallo at ur boy,misupu nipe contact ya simu yako mi nitamsaidia,lakin wewe ndiyo utakuwa ndiyo counsellor.
ReplyDeleteNI kweli. KIla Mtanzania ana wajibu wa kumsaidia mwenzake kwa kila kitu. Tusaidiane kama kawaida yetu. Tusizungushe rounds za u-drink tu pale Rose Garden au Breakpoint. Tuwakumbuke na hawa
ReplyDeleteSijamaa yetu kila siku anakwenda majuu akiomba mapesa kwa ajili ya watu kama hawa.Sasa wapewe wawasomeshe watoto.Au dege lamaliza zote kwa mafuta
ReplyDeleteHuyu dada anaonekana fit atafute kazi yakufanya, housegirl, kuuza nyanya, mkaa au anything kuliko kuomba.
ReplyDeleteTusidekeze hiyo tabia. Alafu huyo baba mtoto yuko wapi? why atafute kufanaya ngono kama hana jinsi ya kulea mtoto. Yes anon hapo juu watanzania tusaidiane panapo hitajika lkn.
Hatuna background ya huyo mama. Kakaa hapo akiomba tangu lini na kwa muda gani kila siku? Labda ni kiziwi! Labda kafukuzwa au kafiwa na mumewe; mpenzi wake; na mengineyo.
ReplyDeleteMichuzi, wewe ni mwanahabari, give us more beef on this woman!