Home
Unlabelled
pafu
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Picha na kumbukumbu muhimu hizi Michuzi, hivi Bi. Kidude ana miaka mingapi sasa? Mara ya mwisho niliambiwa ana 83 sijui miaka 4 au 6 iliyopita!
ReplyDeleteMichuzi acha kuwatisha watoto na hizi picha..hebu ondoa hii manake ipo karibu halafu hamna meno..
ReplyDeleteBI KIDUDE KADATA,ANAKULA MCHE VILE VILE.
ReplyDeleteHIVI KAUNGUA USO? AU VIPI? ANATISHA KWAKWELI.
ReplyDeletejamani mwacheni Bi kidude, hivi ikitoka ZABUNI YA KUMUOA bi kidude na muaji atapewa £2,000,000 si mtamkibilia nyie hasa mnaosema anasura mbaya ndio mtaenda hata Bagamoyo ili mshinde zabuni
ReplyDeleteNadhani sasa hivi bi KIDUDE atakuwa na miaka takrikab 90 NA BADO ANADUNDA kama kawaida
ReplyDeletesafi sana MICHUZI najua kuna watu humu wanataka picha za akina Yondo sista an REY SIII lakini nakuomba ukipata nafasi tembelea wale wazee wetu kule CLABU YA PAN kule Kariakooo bila kusahau SAIGONI siku kama ya kesho jumamosi maana ni sehemu unaweza kukutana na watu wengi ambao hawako kwenye mijitivii na mijigezeti lakini ni muhimu sana kwa nchi yetu
natanguliza shukrani zangu za dhati
Kwa wale wanaotaka GREEN CARD za bongo paper hiyo toka kwa BI mkubwa.
ReplyDelete