mdau pius mikongoti akiwa na malekchara waaliokuwa waalikwa kwenye usiku wa mwafrika huko malaysia majuzi. pius ameukwaa umakamu wa rais wa jumuiya ya waafrika wa huko malaysia. hongera kaka kwa kuwa-migiro wenzio huko mashariki ya mbali.
nakaribisha picha na maelezo kama haya toka popote waliko wadau

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. pius inakuwje jibaba nakumbuka mitaa ya jitemee kwa masawe,hallo at ur boy at this site.

    ReplyDelete
  2. Aisee inapendeza sana.
    Kwa kweli wabongo tupo wengi huku Malaysia ila hatujuani. Inabidi viongozi hao wajitahidi kwenda kwenye vyuo mbali mbali ili kujua wenzao maana hatuna ubalozi wa Tanzania huku,hivyo itakuwa rahisi kushirikiana kwa lolote litakalotokea kama wafanyavyo wenzetu waliopo nchi nyingine. Pia kuwa pamoja ni nzuri sana kama ujuavyo Watanzania tunapendana sana tu. Alifanya jambo la maana sana kutuma hizo picha zao maana wengine hata hatukujua kama kuna Usiku wa Mwafrika...
    Pia Michuzi hii blog yako si mchezo Mungu akuzidishie nguvu na ufahamu zaidi wa kugundua mambo mazuri zaidi yatakayoweza kuuinua zaidi,hongera sana Kaka.

    ReplyDelete
  3. Kaka fanya juu chini tuwasiliane namba yangu ni Zero, Tiga, Seven 6452510 kaka kama uko malaysia najua utanipata si unajua kaka namba soo!! na email ni piusmicky@yahoo.co.uk

    ReplyDelete
  4. Hongera Pius kwa Jitihada za kuunganisha uafrika huko Malaysia Pia hongera kwa kuchaguliwa kwa cheo hicho well done keep it on

    ReplyDelete
  5. Mayange uwapi kaak tuwasiliane kaka za siku vipi? Pius

    ReplyDelete
  6. Ohh Papaa Pius ndani ya kata ya Kuala Lumpur..Hongera sana kaka. From Reading, UK.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...