nampongeza wema sepetu kwa kuwa miss tz na pia miss photo point photogenic mwaka jana kwenye fainali za umiss bongo. mwaka huu tumejiandaa vya kutosha na mshindi wetu atajinoma zaidi...

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. NDIO ULIMPONGEZA KWANINI ALIKATAA USIMBUSU?

    ReplyDelete
  2. Bora Miss TZ mwingine huyo mtoto umaarufu wake uishe maana kama amelaaniwa huyo mtoto kwa kugawa uroda,hana hiyana hata kidogo ili mradi una jina hapa mjini au una pesa.

    ReplyDelete
  3. Michuzi kwa kuote sikuwezi au huwa unapata hint toka kwa majaji, maana 2005 Miss photogenic alikuwa Nancy ambaye akajashinda, 2006 Wema ukamuotea nae akashinda Miss T, mwaka huu tunangoja tuone....

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...