baadhi ya vichwa vya habari magazeti ya jana mchana

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 11 mpaka sasa

  1. hivi!,
    ze POPOZ huwa anatumia kinga wakati wa tendo? Anapiga bao au inakuwa nje ndani *2 hadi kuchwili???...

    kwa kusema ukweli hili swala serikali(wizara ya usalama wa raia) au idara zake husika ziingilie kati na kutoa ufafanuzi yakinifu. mimi nahisi vyombo vya habari, epsecially magazeti ya hapa home yanakuza mambo ili kuuza nakala.

    kwangu mimi serikali inabidi ije na scientific proof ya matendo ya ZE POPOZ. hii ni kwa kuchukua sample za sperm zake if any kwa wale watu walioathirika na ze popoz. kuzicheck ktk maabara na kugundua ze popoz ni kiumbe wa aina gani. we need scientific proof za mambo ya ze POPOZ ili kuweza kuondoa kero na usumbufu kwa waTZ. kuna siku nilisikia hadi BBC wakimzungumzia habari ya ZE POPOZ. hii ni hatari kwani inaweza tisha watu na kuathiri sekta kama za utalii na biashara kwa ujumla. tusifanye mzaha na hizi habari nyepesi nyepesi kiasi hicho, they have replicating effects.

    Cheers....

    ReplyDelete
  2. Sijasikia Popoz akivamia wazungu, wahindi au kuelekea Oysterbay, Masaki,etc kule wanapoishi ambao wanazo. Hawa wanatumia kinga gani au Popoz ana sehemu zake na watu wake awapendao?

    ReplyDelete
  3. This comment has been removed by a blog administrator.

    ReplyDelete
  4. popo bawa ni maalum kwa wajinga wenye akili finyu maskini wa kufikiri kuwa habari hizo ni za uongo.

    ReplyDelete
  5. Siku ze POPOZ kaingia Oysterbay au maeneo ya wenye nazo na kufanya uharibifu then utasikia sirikali inaingilia kati swala hilo.

    ReplyDelete
  6. Kama ze popozi wapo, kwa nini hatukuwatumia katika kupopolaizi wakoloni ama makaburu wa apartheid?

    ReplyDelete
  7. tena nasikia mbegu zake za moto uji afadhali.

    ReplyDelete
  8. Breaking News..

    Ze Popoz yuko hoi bin taaban, alienda kucheki afya yake baada ya kusumbuliwa na homa za mara kwa mara. Ikabainika kuwa ana gonjwa hatari ua UKIMWI. Sasa hivi ana hali mbaya na ARV kwa kweli hazitoweza tena kumsaidia. Anasubuiri siku yake ifike.

    Kwa hiyo ndugu zangu wa mbagala, chanika, temeke na mitaa mingine huko uswazi sasa mnaweza mkapata usingizi.

    ReplyDelete
  9. Hivi Sheikh Yahya ushirikina bado hajaacha.Toka shuleni huyu alikuwa mshirikina nilifikiri kaacha baada ya kuwa mtu mzima.Kumbe hamna kitu.Kweli tabia jadi.

    Michuzi mwambie Sheikh Yahya kuwa Mzee Mkongo anakuambia uache wanga sasa wewe ni tu mzima. Unatakiwa uwe mtu wa sswala badala ya kushabikia urefu wa mboo za popobawa.

    ReplyDelete
  10. Ze popoz anapenda uswihilini maana huko watu wanalala uchi kwa sababu ya joto.sasa masaki huko ma-ac na nini,uume unaweza kumgomea,why take the risk?

    ReplyDelete
  11. kama ze POPOZ ana Ngoma basi watu wote aliowatembelea wanaweza wakawa wameathirika na ngoma.

    kwa style hii hata waikanza kuumwa kesi atauziwa ze POPOZ na si vinginevyo..

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...